mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri. Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika. Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mahakamani kunapozidi Kumong'onyoka

    Kesi ya Mbowe imekuja na mengi. Mahakamani kulikofikiriwa kuwa ndiko kimbilio, hilo haipo tena: Tulianza kuzuiliwa kwenda mahakamani kunakopaswa kuwa mahala pa wazi. Ikaja kuzuiliwa kuingia mahakamani. Kuzuiliwa kuingia na simu. Sasa kuna kufungiana mahakamani. Yote hayo kinyume cha...
  5. JamiiForums Tanzania Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

  8. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi ilisikiliza shahidi ambae ni mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo. Leo Jamhuri inaleta shahidi mwingine. Kuwa nami. ========= Jaji ameingia.. Kesi inatajwa...
  9. JamiiForums Tanzania James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

    Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha anazozituhumu kuhusika katika wizi wa fedha za Serikali zilizomsababishia kesi ya uhujumu uchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

    Salaam Wakuu, Ile Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Fuatilia uzi huu ili kujua kinachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 28/10/2021 ==== Mawakili upande wa...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

    Aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Jambazi Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kusomewa mashtaka 6 ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa. Ijumaa Oktoba 15 mwaka huu, Sabaya alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Makonda alikupora mali zako, unasubiri nini kwenda Mahakamani?

    Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji. Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
  14. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mawakili huwa wanasalimianaje mahakamani?

    Wajuvi wa mambo naomba mnijuze "Hivi mawakili uwa wanasalimianaje mahakamani?"
  16. JamiiForums Tanzania Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

    Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba. Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Namshauri Professa Assad aende Mahakamani kwa uonevu aliofanyiwa

    Pole sana Professa Assad. Mimi binafsi nilisikitika sana kwa uonevu uliofanyiwa kwa kustaafishwa bado ukiwa hujatimiza umri wako wa kustaafu. Ulisimamia ukweli, ulikuwa mwadilifu na mkweli kwa nchi yako lakini haya yote wakubwa hawakuona na bado wakakukejeli. Kama katiba inavyosema CAG ili...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kupokea amri ya kumpeleka mahakamani Msanii Optter

    Jeshi la polisi limeendelea na danadana zake kukwepa kumpeleka msanii Optter Mahakamani huku likiendelea kuzuia dhamana yake. Wakili kutoka kituo cha THRDC amepeleka hati ya kimahakama kuwataka Polisi kumpeleka mchora katuni Mahakamani. Kwa mujibu wa sakata hili, RCO wa Kinondoni ameendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

    Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani. Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14. Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi. Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia. ==== UPDATES Jeshi la Polisi Kanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…