Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

Pununkila

JF-Expert Member
Jan 7, 2021
689
1,692
Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba.

Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za jamii.

My take: Akiachwa ACHIKA ,ukishikwa SHIKAMANA
 
Mimi niliwaambja yanga hii haina uwezo wa kutoa ile faini ya M11 watu wakanibishia

Haya sasa manara ametumika kama backup, magodoro sio dili tena yashaingia kunguni

Na huku pia watafeli tena kwa aibu kubwa
Mlipeni fedha yake, Ayo ndio matokeo ya Tajiri na mkewe kuongoza timu. Yaani mke anaendesha timu Kama familia yake
 
Haji amechelewa sana. Ilitakiwa angepeleka mshtaka ndani ya siku 30 toka ameachana na Simba.

Zaidi ya hapo kuna procedure inaitwa condonation (inamaanisha ni 'kesi ndogo' ambayo husikilizwa ili mahakama kuamua kama waendelee na kesi kutokana na madai/maslahi ambayo mshtaki aliyapotezea au kuona hayana tija kwake lakini kwa sasa anayadai)

Yote kwa yote Manara tayari yupo upande wa kupoteza.
 
700,000/= alizipokea kwa mkataba gani? Na alisema anafanya kazi kwa mapenzi na club, vipi leo adai mkataba!!! . Na aliisha wahi kusema kuwa yeye hana matatizo na Simba ila tu wagomvi wake ni Barbara na Mo na hasa pale alipotishia kutoa siri zao.
Mkataba wa 4,000,000/= aliktaa kusaini kutokana na maslahi yake mengine na kama angesaini mkataba huo angewalipa Azam million 300,000/=, sasa Simba anaishitaki kwa kitu gani? BIG TIME LOOSER.
Kweli huu MSUKULE WA UTOPOLO umechanganyikiwa.
 
"Angewalipa Azam milioni 300,000/=" 🤣 🤣
 
Kama aliwafanyia kazi bila mkataba atalipwa kwa msingi wa kile kinachoitwa (Quantum Meruit).
 
Back
Top Bottom