mahakamani

  1. Mbowe kuhudhuria shauri lake Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kumruhusu Mbowe kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
  2. Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
  3. Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
  4. Askofu Mwamakula: Hatuwezi kunyamaza

    Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
  5. Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

    Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
  6. Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

    Salaam Wakuu, Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo. Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa. Tuendelee kufuatilia kwa karibu ===== UPDATES; =====...
  7. M

    Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  8. B

    Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  9. B

    Harufu ya zuio la Mikusanyiko ikiwamo Mahakamani linanukia

    Ile tarehe yetu inapozidi kujongea harufu ya zuio la Mikusanyiko nayo inazidi kunukia. Bila shaka tukataarifiwa huko mahakamani kuwa kama Tokyo 2021. Olympic bila mashabiki angalau kwa wiki hii ili kudhihibiti maambukizi ya Corona. Shit hole countries kila jambo ni fursa. Yakisikika hayo miye...
  10. Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
  11. M

    Hawa askari Magereza wanaompeleka Sabaya mahakamani wana mikwara ya ajabu sana

    Sijui hilo rungu ni tambiko ama masharti ya mganga?!
  12. Shahidi: Sabaya alinifunga Pingu miguu na Mikono na nilipigwa nusu ya kifo

    Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
  13. Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  14. Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili?

    Kwema wakuu? Hivi Mwenyekiti Mbowe atafikishwa lini mahakaman kujibu tuhuma za ugaidi zinazomkabili?
  15. T

    Je! Kesho Mbowe kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za UGAIDI kuhadaa Dunia?

    Viongozi wengine waliokamatwa Mwanza wameachiwa bila dhamana yaani polisi imewadhamini yenyewe Mbowe tu ndio bado anashikiliwa Dar es Salaam na haujulikani yupo Kituo gani, hapo unaweza kukuta yupo kwenye Nyumba ya wasiojulikana ili kesho afikishwe mahakamani kwa tuhuma za ugaidi Mama SASHA...
  16. Mbowe akipelekwa mahakamani, viongozi wetu watakuwa salama zaidi

    Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea. Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora apelekwe mahakamani. Hii ni public trial ambapo wote tutafuatilia yanayotendeka. Lakini viongozi...
  17. M

    Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  18. Shahidi kesi ya Sabaya, wenzake aenda kushiriki swala la Eid El Hajj, kesi yaahirishwa

    Kesi ya Sabaya? Ha ha ha! Anashinda mchana hivi anaondoka akionesha vidole viwili alama ya ushindi. Huku akiwa amewagaragaza waliomshtaki. Mbona inaonekana tu ipo wazi wala hata haihitaji Darubini kuangalia kesi inavyoelekea. ---- Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na...
  19. Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi

    Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na wenzake wamefikishwa leo mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili. Kesi itaanza kusikilizwa mfululizo. Upande wa Jamhuri una mashahidi 10. === Ushahidi kesi ya Sabaya: Shahidi...
  20. Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…