mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Maombi ya Zumaridi kutokuwa na imani na Hakimu yakosa majibu Mahakamani, Julai 18, 2022

    Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya. Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpeleka Shemeji yangu Mahakamani!

    NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI Anaandika, Robert Heriel. Haki lazima ikatendeke! Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Kilimanjaro mfikisheni Mahakamani Mke wa tajiri huyu

    Kuna waimbaji wanaimba 'mwenye pea' si mwenzako ni kweli mwenye pesa si mwenzako,wengine wanasema mwenye nguvu mpishe, huwezi shindana naye. Nimeonelea nianze kuhathisia kisa hiki kwa kuanza hivyo pengine huko mbele mtanielewa namaanisha nini? Mwezi novemba 2019 eneo la Majengo mjini Moshi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majaribu tumeumbiwa wanadamu

    Habari Wana wa JF... Mimi ni muhanga wa kutalakina. Kesi yangu ya talaka ilifunguliwa tokea 2018 mpk Leo Bado haijaisha. Ilianzia primary court mpk Sasa ipo high court tusijadili maana ndo mambo ya kisheria yaache tu Sheria uchukue mkondo wake. Ipo hivi baada ya kutengana na X wangu nikapata...
  5. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili afafanua kuhusu kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, wanaruhusiwa kurudi Mahakamani

    Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI ============= Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, ama inaweza kutupwa katika namna ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

    Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi). NB:- Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!! FLACK BACK  Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari Feki afikishwa Mahakamani kwa kumpiga Askari wa Kweli

    Edward Motaroki Nyaanga Edward Motaroki Nyaanga amefikishwa Mahakamani kwa makosa ya kujifanya ni askari, pili kumjeruhi kwa kumpiga askari halisi Nchini Kenya na kumsababishia majeraha kichwani na mikononi. - Amesomewa shitaka la kumpiga Konstebo Dominic Obura tukio lililotokea Juni 16, 2022...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wafikishwa mahakamani

    Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita ikiwemo mawili ya utakatishaji fedha. Wengine ni Mariam Mshana...
  10. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Afikishwa mahakamani kwa kuzaa na binti yake. Alimlaghai kwa kumwambia anamtibu kupitia uume wake

    Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao. Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta...
  11. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  12. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Jaji atoa amri shahidi ambaye ni Afisa Ardhi atokee maabusu kuja kutoa ushahidi baada kudharau wito wa Mahakama

    Wakuu Kuna session ya CAT Huko Shinyanga, ni revision dhidi ya order ya mahakama kuu ya MATUMA J. Shahidi ambae ni afisa ardhi alipata summons tatu hakuja Mahakamani ikatolewa ya nne kwa jina lake hakuja kwa sababu alipangiwa jukumu na mkuu wa idara. Ikatoka nyingine akaja akasema yeye sio...
  13. JamiiForums Tanzania Mtwara: Maafisa 7 wa Polisi wafikishwa Mahakamani, shtaka laahirishwa hadi Juni 16, 2022

    Shtaka la Maafisa saba wa Jeshi la Polisi wanaotuhumiwa kumuua mfanyabiasha wa madini, Musa Hamisi, aliyekuwa mkazi wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi limesomwa leo Juni 16, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara. Watuhumiwa wote walifikishwa Mahakamani hapo ambapo shtaka lao limepangiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mwaikali wa Konde KKKT aangukia pua mahakamani!

    Askofu Dr Edward Mwaikali ambaye baada ya mkanganyiko mkubwa katika Dayosisi ya KKKT-Konde alifungua shauri mahakama Kuu Mbeya kupinga kuenguliwa Uaskofu, sasa rasmi Mahakama imeamua kuwa haina mamlaka kuzuia kuapishwa Askofu Geofrey Mwakihaba, ambaye alichagulikwa na Mkutamo Mkuu wa Dayosisi...
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  17. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022 Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi. =========================== Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  19. JamiiForums Tanzania Aina za Adhabu Ambazo Hutolewa Mahakamani

    Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu. Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k Kwa Tanzania, adhabu za makosa...
  20. JamiiForums Tanzania Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…