mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jacob Zuma ashindwa kushawishi Mahakama kubadili Hukumu yake

    Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe. Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Askari kujaa ndani ya mahakama kuzuia raia kukai haiwezi ukawa mtego wa wao kusababisha taaruki wapate sababu yakusema raia wamefanya fujo?

    Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia...
  3. JamiiForums Tanzania James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili Mahakama ya Uhujumu aainisha masharti ya kusikiliza kesi ya Mbowe

    16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3. Marufuku kurekodi kwa kutumia simu Hakuna katazo...
  5. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Mahakama na Vyombo vya Habari nchini?

    Naombeni mtusaidie kujua, mahakama na vyombo vya habari Kuna mgogoro au makatazo yoyote? Vyombo vya habari vipo kimya sana kuhusu kinachoendelea mahakamani hasa kwenye kesi kubwa zinazoendelea. Hakuna taarifa na updates si kwenye television Wala radio. Nini kimetokea?
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama ya wananchi

    Hakuna ubishi kuwa wanasheria wanatafuta ukweli kuhusu mambo yaliyofanywa na kufanyiwa wateja wao ambao sisi wananchi wa kawaida tunaufahamu. Tunaufahamu ukweli wote kwakuwa wahalifu na waliofanyiwa uhalifu ni miongoni mwa sisi wananchi ambao tunaishi, kucheza, kusoma, kula, fanyakazi, ama...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

    Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha Mahakama kifunguliwe, ili waingie pamoja na watu wengine..
  9. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hans Poppe: Mahakama yakubali Ombi la Mawakili wa utetezi

    Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Jaji kuwa Mwanasheria Mkuu na Uhuru wa Mahakama

    Katiba ya JMT ibara ya 109 (2) inampa Rais mamlaka ya kuteua Jaji Kiongozi na Majaji wengine wa Mahakama kuu, Muhimili huu wa utoaji haki unatakiwa kuwa huru katika kutekeleza shughuli zake hiyo ibara ya 107B imetamka bayana kuwa mahakama zote zitakuwa huru pasipo kuingiliwa na muhimili wowote...
  11. JamiiForums Tanzania Sakata la Mbowe kuwa na tuhuma za ugaidi isiwe sababu ya kutaka Watanzania tuamini anaonewa. Tuache mahakama iamue.

    Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani. Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Kielelezo namba 20 (Mfuko wa shangazi kaja) kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake Chasisimua Mahakama

    Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei chee wa kubebea vifurushi unaofahamika kwa jina zuri la SHANGAZI KAJA , umefanya Waliohudhuria kesi...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la Serikali dhidi ya Mwanaharakati wa tozo

    Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la awali Serikali dhidi ya maombi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya kibali cha kufungua shauri la kupinga tozo kwenye miamala ya simu. Hata hivyo wakati mahakama hiyo ikitupa pingamizi la Serikali, pia imeyatupa maombi kama hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

    Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Baada ya Jaji Luvanda kutupa mapingamizi yote yaliyotolewa na Mawakili wanaomtetea Mbowe na wenzake, Mbowe amesimama na kumtaka Jaji Luvanda ajiondoe kuendesha kesi hiyo kwani ameonyesha upendeleo na taarifa zinasema ana maelekezo ya kupindisha sheria ili amfunge Mbowe na wenzake. Jaji Luvanda...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi. Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6 Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen Freeman Mbowe...
  19. JamiiForums Tanzania Haki iliyocheleweshwa inamuumiza Mbowe

    Wapenzi na mashabiki wa soka, wanajua ikitokea timu imeshinda huku timu pinzani ikicheza kwa kasi na kiu ya kubadili matokeo, delaying tactic hutumiwa na timu inayofaidika na matokeo ya wakati huo, na huwa kawaida mwamuzi hutoa adhabu kwa wanaochelewesha mchezo. Ikitokea wachezaji wa timu iliyo...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…