Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani
Kaa tayari kwa updates
========
Leo September 16, 2026
Last time tuliishia sehemu ya 428
Sehemu ya 429
Mahakama imeanza.
Imepigwa high coooooourt
Majaji wameingia.
Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo?
Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa?
Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
Yaani inasambaza vithibitisho ili kumuaibisha shahidi, inarusha mitandaoni kupitia akaunti zisizo julikana ili kumuaibisha shahidi , lakini mwisho wa siku wana aibika wao tena.
Tuna jeshi bovu la Polisi na Mahakama ya Hovyo dunia nzima hakuna ni Tanzania tu
Mahakama Kuu imezuia kwa muda Standard Group kuendelea kuchapisha au kusambaza madai yanayomhusisha Charlene Ruto, binti wa Rais William Ruto, na tender yenye utata ya takribani Sh2.8 bilioni ya sare mpya za polisi.
Amri hiyo ya Septemba 14 imetolewa baada ya Charlene kupinga machapisho ambayo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu ya Fikra Mbadala kwenye gazeti l Nipashe la leo nikiuelimisha umma kuhusu mawakili, si wengi wanajua kuwa mawakili nao pia ni maofisa wa Mahakama, hivyo lile onyo la Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju kuwa Mahakama sio sehemu ya uanaharakati, pia linawahusu mawakili...
Habari za muda huu wanajamvi.
Hili swali linanisumbua sana naomba ufafanuzi wa kisheria pale mahakama za chini zikikaidi kufuata miongozo iliyowekwa na mahakama ya rufani katika kesi mbalimbali.
By Advocate Paul Boniventure;
Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza...
Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU
".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu?
Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa.
Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali...
Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa amri ya muda inayomzuia muigizaji wa Nollywood, Liz Anjorin, kuchapisha au kusambaza picha na maudhui yoyote yanayomhusu mtoto wa Priscilla Ojo na msanii Juma Jux, aitwaye Rakim, kwenye mitandao ya kijamii .
Amri hiyo iliyotolewa kufuatia...
CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi.
Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi .
Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest .
Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini akaibukia Ikulu.
Kwa hiyo mahakama unaweza kua muhimili ambao unatumika kama fimbo ya...
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo.
Kamanda wa Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.