mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. F

    Waziri hana mamlaka ya kutoa hukumu kwenye mgogoro wowote ule. Ndio maana Bunge na Mahakama zetu havina nguvu

    Hapa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika bunge na mahakama vipo kama mapambo tu na hutumika na wanasiasa wakitaka kufanya mambo yao. Inashangaza jinsi watanzania wengi wasivyojua haki zao na taratibu za kupata haki zao! Kwanini watu wengi hufikiri kuwa waziri ana mamlaka ya kuamua haki kati ya...
  2. Mfumo wetu wa mahakama unapaswa kujitathmini

    Machi 2023 Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022. Wengi hawakufahamu ni kitu gani. Pia, nafikiri hata Rais mwenyewe wakati anazungumza hayo hakupewa taarifa vizuri na wasaidizi wake kwamba...
  3. M

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi...
  4. B

    Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  5. X

    Barua ya udhuru mahakamani

    Naomba kuelekezwa na mfano wa barua ya kuomba udhuru, kutohudhuria siku ya kesi mahakamani mahakama ya mwanzo.
  6. K

    Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  7. U

    Mahakama Kuu nchini Zanzibar yafuta kifungu kinachozuia uagizaji wa vileo

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George...
  8. Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  9. Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  10. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  11. Mahakama yakazia sheria ya ushoga

    Mahakama ya katiba nchini Uganda imetupilia mbali shauri lililowasilishwa Mahakamani kupinga sheria dhidi ya mapenzi kati ya Watu wa jinsia moja na kusisitiza kuwa sheria hiyo inalinda utamaduni na hadhi ya Watu wa Uganda. DW ( @dw_kiswahili ) imeripoti kwamba Walalamikaji walitaja sababu...
  12. B

    Mahakama Kuu yatupilia mbali Mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba ya Bandari

    HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
  13. Mahakama ya mafisadi imeenda kusipojulikana?

    Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi, inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi hivi sasa hatujaona Mtu akifunguliwa mashtaka ya ufisadi na huenda kwa sababu wenye Mali ndiyo...
  14. K

    Faida ya mahakama ni zipi: Hazilindi demokrasia wala haki

    Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya kuelekezwa na serikali. Kesi zinachukuwa miaka , kura zinaibiwa nje nje mahakama wamekaa tu eti...
  15. R

    Mahakama Kuu: Sheria ya Ukomo inayompa Waziri wa Katiba na sheria kuongeza muda wa ukomo wa kufugua mashauri ni batili

    Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act) vinapingana na katiba na hivyo ni Batili. 1. Vinamnyima mtu haki ya kusikilizwa 2. Vinamnyima mtu haki...
  16. Ni aibu kwa Mhimili wa Mahakama kutumia kikoa cha Blogspot hadi leo

    Mara kadhaa nimemskia Jaji Mkuu akisema katika utawala wake amefanya mabadiliko makubwa ya mifumo na kuendesha kila kitu kwa njia za Digitali. Lakini cha ajabu leo nimekutana na ukurasa rasmi wa Website ya Mahakama nchini ikiwa kwenye mtindo wa Blogspot tena ikiwa na tahadhari ya kuwa...
  17. Z

    Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  18. R

    Madeleka Kumbuka Mbunge Pauline Gekul alikuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria; alimsimamia DPP na Mahakama hivyo ni bosi wao

    Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria . Ofisi ya Katiba na Sheria ndipo walipo majaji na DPP, huyu alikuwa bosi wa watu wa judicial na DPP. Je...
  19. T

    Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
  20. Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

    Lusaka, ZAMBIA Mnamo saa 09:10asbh Machi 5, 2024, Kituo cha Polisi cha Muwanjuni kilipokea ripoti ya kusikitisha ya tukio la kujiua kutoka kwa Bw. Emmanuel Mutale, mwenye umri wa miaka 42, mkazi wa kijiji cha Selengwe katika eneo la Maili Kumi. Bw. Mutale aliripoti kuwa rafiki yake, Bw. Charles...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…