Madeleka Kumbuka Mbunge Pauline Gekul alikuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria; alimsimamia DPP na Mahakama hivyo ni bosi wao

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria .

Ofisi ya Katiba na Sheria ndipo walipo majaji na DPP, huyu alikuwa bosi wa watu wa judicial na DPP. Je wanaweza kiafrika kumsaliti bosi wao? Kama tunatambua kwamba chama cha mapinduzi kulijitokeza adhrani kumsafisha tunaamini mahakama itaweza kupingana nachama kilichopo madarakani?

Natabiri rufaa hii itaruhusu Gekul kufika physically mahakama aidha kwa kuelekeza afikishwe mahakama za chini au kumwita kujitetea kwa vyovyote.

Lakini pia endapo kesi hii ikiruhusiwa kwenda kusikilizwa maana yake vyombo vya habari wakiwemo Chadema watataka kurusha matangazo live kama walivyofanya na kwa mwenyekiti wao Mbowe; je mhanga wa lile tukio akiwa anatoa ushahidi Dunia itavumilia kusikiliza ukatili uliofanywa na Naibu Waziri?

TUENDELEE KULINDANA WAKUBWA NA MATAJIRI; ninyi maskini mkitaka haki unganeni kama wakubwa wanavyoungana kuwakandamiza.
 
Muda ni mwalimu bora na sahihi!
 
Back
Top Bottom