Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha taarifa muhimu Mahakama Kuu katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) na wenzake watano.
Kipande na wenzake hao wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...
Mahakama Kuu ya Kenya imechukua maamuzi hayo baada ya Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kutishia kuvifutia leseni na kutoza faini vituo hivyo ikidai vimekiuka kanuni kwa kurusha matangazo hayo mubashara.
Amri ya Mahakama imezuia CA kuendelea kutoa vitisho kwa Citizen TV, NTV, K24, KBC, TV47...
Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu alimkamata mtu, akamuweka ndani kwa siku kadhaa.
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa amri kwamba serikali ilipe fidia ya milioni 90 na Mkuu wa Wilaya alipe fidia ya milioni kumi.
Maamuzi mabaya yanaligharimu taifa, piga hesabu TRA wanahangaika kukusanya...
Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria.
Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
Baada ya kuponea chupuchupu kutupwa jela mwaka 2018, sasa mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale anachungulia tena jela baada ya mchakato kumtupa jela kuanza tena upya.
Babu Tale ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni inayojihusisha na shughuli...
Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru.
Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
Katazo hilo linakuja ikiwa ni masaa chini ya 24 yamesalia kwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu Matokeo ya Rais ambayo yaliwekewa Pingamizi na Mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Katika taarifa yake Jeshi la Huduma za Polisi (NPS) pia limezuia matumizi ya Barabara zote zinazoelekea...
Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa na Mitambo ya Usalama ili kudhibiti majaribio yoyote ya uhalifu.
Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku...
Baada ya Majaji wa Mahakama Kuu kumaliza kusikiliza mashauri ya Pingamizi la Matokeo ya Urais pamoja na Utetezi, Haya ndio maamuzi yanayoweza kutolewa Jumatatu Septemba 5, 2022.
Iwapo Mahakama itaona dosari kubwa zilizoathiri kwa kiasi kikubwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC)...
Mheshimiwa Jaji Kiongozi.
Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni)...
Mheshimiwa Jaji Kiongozi.
Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni)...
Mahakama Kuu imeamuru Tume ya Uchaguzi IEBC kumpa Mgombea Urais Raila Odinga idhini ya kuzipitia na kuangalia Server zote za Kituo cha Taifa cha Kujumlisha Kura za Uchaguzi Mkuu.
Pia Mahakama iliagiza Tume kumpa masanduku ya Kura kutoka vituo mbalimbali yafunguliwe kwa ajili ya ukaguzi...
Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:-
1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mtalaka wake, marehemu Mercy Anna Mengi, kuhusu mgawanyo wa mali...
Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto.
Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
Ukisoma maoni ya Wakenya katika video hiyo sio team Kenya Kwanza wala team Azimio wote wamesikitika.Vilevile,ukifuatilia mijadala mingi ya watubalimbali huko Kenya inaonekana kuna shida kwenye Tume ya Uchaguzi.
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio La Umoja One, Raila Odinga leo anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais yaliyotangzwa na Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) na kumpa ushindi William Ruto
Odinga akiwa na Mgombea Mwenza Martha Karua, na Kiongozi wa Wiper Party Kalonzo Musyoka...
Ili kufikia azma ya kupanua wigo wa utendaji wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kuongeza ukaribu katika kuhudumia wananchi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ina Ofisi 17 ambazo zimefunguliwa kwenye mikoa yote yenye masjala za Mahakama Kuu ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na kwenye mikoa...
Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu.
Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.