Leo katika bunge, kipindi cha maswali na majibu, nimemuona Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini, Mheshimiwa Steven Byabato akijibu maswali kwa umahiri sana. Anaonekana anajiandaa kabla ya kuingia bungeni, anasoma, na tayari ana uelewa wa wizara.
Anaongea kwa data kutoka kichwani...