Prof. Waja-Kaya alikuwa akitoa hutoba yake huko Kenya, na alitoa maneno hayo, maneno haya, kwa maoni yangu, ndio maono ya Dunia kuhusu JPM. Yaani wanaamini kifo chake ni adhabu aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Mbona jamaa yetu alikuwa anashinda makanisani akiombewa, na Kila mahali alikuwa anaomba...
Magufuli alikuwa anaiimarisha CHADEMA kwa yake yote aliyokuwa akiyafanya pasipo kujua. Wananchi waliingiwa na imani na kuamini CHADEMA ilikuwa ina pambana kwa ajili yao.
Mama Samia ametumia mbinu tofauti. Kwamba nao wale nasi. Hii ni njia nzuri maana sasa wana chakula mdomoni hawawezi zungumza...
Viongozi wetu sijui huwa wanawaza Nini. Kwa kweli kama ni msafiri wa mabasi ambaye umeanzia safari yako Magufuli Terminal nadhani umeshakumbana na hii kero hasa kwenye kuingia ndani ya stand kwa kutumia kadi.
Lengo lilikuwa zuri but utaratibu ndo mbovu, yaaani mwenye misuli ndiye atapata kadi...
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.
Mbali...
Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote?
Kutokana...
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
Habarini. Mnakumbuka samaki aliokamata kutoka kwa wachina waliokuwa wanavua kwenye bahari yetu kwa Magendo? Basi wale samaki waligawiwa kwenye vyuo na mashule mbalimbali ya mkoa wa Dar Es Salaam. Samaki wale walinikuta nikuchukua diploma ya unesi kwenye chuo fulani jijini Dar. Chuoni pale...
Leo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao
Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona...
Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically.
SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda...
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG anatupatia mpaka report za nyuma kabisa za Magufuli.
Swali langu ni je, kwanini hizi report CAG hakuzitoa...
Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli
Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani
=========
Na Waandishi Wetu...
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining).
CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii.
Chadema wangechapisha hadi kanga.
Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo...
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.
RAIS...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo.
Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada?
#Unapoitazama SGR unaona nini
#JKNHP, unaona nini
#Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini
#Ununuzi wa ndege Je.
#Upanuzi...
Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa.
Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita.
Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe.
Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka...
Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM.
Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...