Usumbufu uliopo Magufuli Terminal kwenye geti la kuingilia

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,253
6,887
Viongozi wetu sijui huwa wanawaza Nini. Kwa kweli kama ni msafiri wa mabasi ambaye umeanzia safari yako Magufuli Terminal nadhani umeshakumbana na hii kero hasa kwenye kuingia ndani ya stand kwa kutumia kadi.

Lengo lilikuwa zuri but utaratibu ndo mbovu, yaaani mwenye misuli ndiye atapata kadi kwa haraka it's real struggle Zaidi ya daladala za Mbagala.

Mwisho wa siku zile kadi hawaziswap kwenye mashine, kwa maana kwamba geti linafunguliwa watu waingie tu kutokana na wingi wa watu. Sijajua hapa kwenye ishu ya mapato inakuaje?

Mimi nashauri uongozi wa hii terminal kufikiria nje ya box na kutafuta utaratibu ambao hakutakuwa kero kwa wananchi.
 
Waafrika kuna wakati ule kuwa sawa na wanyama wa miguu minne unauona kwenye mambo potential.

Nilipokuwa Dar na siku nataka kuondoka hapo mjini kwenu ndipo nilikutana na hiyo adha, yaani bila ubabe unaachwa na basi.

Nilikuwa nahofia na kuwaonea huruma wa mama kumbe bana mjini ni ubabe aseee!.
 
Watanzania why hatuna ustaarabu hasa kwenye mambo mengi mfano:
-Kuingia stadium (Kuangalia game)
-Kupanda Magari (55, basi za mikoani)
-Kupiga Kura
-Kwenye kupata huduma ijumuishayo watu wengi.
-nk nk.

Nchi nyingi za Kiafrika wametuzidi hili mfano: South Africa, Kenya unakuta wenzetu wanaweka foleni tena hata kugusana tu hawagusani.

Hv kwenye hili nalo alauniwe nani?
 
vitu vidogovidogo vinatushinda kusimamia iyo sgr itakuaje kuiendesha na kuitunza?,kama tunashindwa kuwa na utaratibu mzuri wa watu kuingia stendi ya mabasi iliyojengwa kwa gharama kubwa lakini kuingia tu ni issue!.
 
Shukrani I hope kwa kuupost kwenye Instagram itaweka attention na kufikisha ujumbe kwa wahusika. Shukrani
 
Viongozi wetu sijui huwa wanawaza Nini. Kwa kweli kama ni msafiri wa mabasi ambaye umeanzia safari yako Magufuli Terminal nadhani umeshakumbana na hii kero hasa kwenye kuingia ndani ya stand kwa kutumia kadi.

Lengo lilikuwa zuri but utaratibu ndo mbovu, yaaani mwenye misuli ndiye atapata kadi kwa haraka it's real struggle Zaidi ya daladala za Mbagala.

Mwisho wa siku zile kadi hawaziswap kwenye mashine, kwa maana kwamba geti linafunguliwa watu waingie tu kutokana na wingi wa watu. Sijajua hapa kwenye ishu ya mapato inakuaje?

Mimi nashauri uongozi wa hii terminal kufikiria nje ya box na kutafuta utaratibu ambao hakutakuwa kero kwa wananchi.
Hizi Kadi wahusika wanapaswa kulipia in advance. Asubuhi pale inatakiwa iwe kuhakiki tu. Kwa kufanya hivi mapato hayatapotea; vinginevyo ripoti ya CAG itakuja na uvujaji mapato wa kutisha kwenye Halimashauri husika
 
Ni kweli...kadi zinalipiwa lakini hawaziswap
 
Back
Top Bottom