magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako Rais Magufuli

    Tangu uingie madarakani kumekuwa na hii teka teka ya watu ambayo imezua taharuki!! Wewe kama kiongozi unapaswa kuweka sawa na kutufahamisha kuwa hawa watekaji au wahuni ni kina nani na wana malengo gani hasa, kwani kukaa kwako kimya ni kuhalalisha utekaji na kuonyesha hautujali sisi wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

    Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja...
  5. JamiiForums Tanzania Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

    Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya? Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Magufuli The Chemistry Engineer, The Implementer of Mega Economically viable Projects, the inborn intelligent bulldozer President

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anayafahamu haya?

    Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa. Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic. Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe 2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed 3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu 4. KATIBU MKUU - John John Mnyika 5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila 6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA 1. John W. Heche 2...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi Nyasa wamshukuru Rais Magufuli

    Wananchi wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma wamemshukuru sana Rais John Pombe Magufuli kwa kuwaajengea hospitali ya Kisasa baada ya kutaabika kwa miaka yote wakiwa katika mazingira magumu sana kwa kufuata huduma ya Afya katika hospitali ya Wilaya ya Mbinga. Shukran hiyo imepokelewa na Waziri wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

    Niko natembelea ndugu zangu walioko pembezoni mwa miji kadhaa ambao vijiji au tuviite vitongoji au mitaa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, cha kushangaza havina umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupiga uongo eti wanaletewa umeme wa REA awamu ya tatu ni mwaka wa tano...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli, Kagame marais wa mfano

    UTENDAJI kazi wa marais, Dk John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda unaoweka mbele maslahi ya nchi na wananchi umemvutia Balozi wa Rwanda nchini, viongozi hao ni mfano wa kuigwa. Utendaji wa marais hao, unaojali zaidi vitendo vyenye kuonyesha matokeo chanya badala ya maneno yasiyo na tija, ndiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

    Na. M. M. Mwanakijiji Wapo ndugu zetu kati yetu ambao wanapomwangilia Magufuli na utendaji wa serikali yake wanamuona ni mshamba aliyeula. Kwa kejeli zisizo kikomo na dharau zilizopitiliza wanaamini kuwa Magufuli hajachakaruka wala kujanjaruka kama wao wa “mjini”. Naomba kupendekeza kwako...
  18. JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  19. JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021 Lakini pia, ameweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…