magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm. Source TBC
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

    Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia apongeza uthubutu wa Rais Magufuli. Awataka wapinzani waache Ulalamishi na wajifunze kutoa kauli chanya

    Mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amesema Rais Magufuli ni mzalendo wa kweli, mchapakazi, ana uthubutu na ni mtu anayechukua maamuzi magumu. Mh Mbatia ametolea mfano namna Rais Magufuli alivyokomesha ujambazi, alivyoimarisha sekta ya elimu na afya na alivyothubutu kujenga miundombinu ya kisasa...
  4. JamiiForums Tanzania Kongole Rais Magufuli kwa kutokomeza ugaidi na viashiria vyake

    Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi. Lakini nakiri wazi Kuna Mambo napaswa kumpongeza yeye na serikali yake. Kupunguza ugaidi Mh Rais nakiri kwa uwazi kuwa Sasa Mambo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Sijatumwa na Magufuli kuiangusha CHADEMA Mbeya

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya Rungwe, Busokelo na Kyela katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu. "Nimekuja Mbeya kwenye ziara ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Rais Magufuli ni mtu anayetambua mamlaka yake na hakubali kushindwa kwa lile analoliamini

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini. Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  9. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

    Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana. SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana. Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitikia wito wa maridhiano wa Mbowe, leo akutana na viongozi waandamizi wa vyama pinzani

    Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini. Sympathizers...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli heshimu maamuzi ya wananchi kupitia sanduku la kura kwenye Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu

    Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa Magufuli bado hajapita kiasi katika kutaka atukuzwe na anaowateua angalia picha hii

    Waziri mmoja wa Zambia akiongea na rais wake Lungu huko Zambia kipindi fulani hapo nyuma. Magufuli wetu hajafikia huku, swali ni kama siku moja atakuja kufikia huku!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa CCM: Ikiwa "makosa" ya Membe, Makamba na Kinana yalihumhusu Magufuli, ilikuwa sahihi kwa Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Kamati iliyowaadhibu?

    Ninaamini CCM wanauelewa msemo kwamba kesi ya kima huwezi kupeleka kwa nyani. Hakutakuwa na haki katika hukumu. Vivyohivyo, Watanzania wote wanaelewa kwamba tuhuma za CCM dhidi ya Membe, Makamba na Kinana kwa namna kubwa zilikuwa zinamhusu Magufuli. Membe siku zote ameonwa kuwa mpinzani na...
  17. JamiiForums Tanzania Wananzengo tuingie "field" kuusaka ugomvi binafsi kati ya Rais Magufuli na Benard Membe

    Tuingie field kwa kigezo kimoja tu "Urais ni taasisi" "Urais wa nchi ni jambo linalomuhusu kila mwananchi" Hawa watu abadan wana ugomvi binafsi tena unafukuta kwelikweli. Kila mmoja hana amani na mwenzie. Facts ni hizi hapa. 1. Magufuli alipopata ridhaa ya kuongoza CCM kuwania urais wa JMT...
  18. JamiiForums Tanzania Uibaji wa Pesa mfuko wa PSSSF

    Nimekua nikifatilia mafao yangu pale mfuko wa PSSSF. Kuna michango ambayo kwenye statement haionekani na mwajiri alifanya process zote za kutuma na kuweka. Sasa changamoto inakuja ukienda PSSSF na ukiuliza mbona michango mingine haipo? Majibu toka PSSSF '' Hii michango mingine kuanzia February...
  19. JamiiForums Tanzania Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA. Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi. Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…