magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi binafsi sina chama, si kwa sababu nataka iwe ivyo, ni kwa sababu sijaona chama Tanzania chenye misimamo nayotaka mimi. Rais Magufuli na Bunge: Kwa mtazamo wangu nadhani si kwamba raisi Magufuli anapinga mhimili wa bunge, hili limedhihirishwa na mkataba alioingia Muheshimiwa Kangi Lugola...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia. Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana. Kila mtu anajionea matukio...
  3. JamiiForums Tanzania Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

    Rafiki wa kweli ni wakati wa shida . ===== SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19). Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkaanga vikali Waziri Kamwelwe, atishia kumuweka ndani kwa Uhujumu Uchumi

    March 16, 2020 Kilosa, Morogoro Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiwa wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro akifanya ukaguzi wa daraja muhimu kwa taifa la Kiyegeya lililobomoka Machi 2, 2020 kufuatia mvua nyingi alionesha kutoridhishwa na utendaji wa safu za wateule wake hasa Waziri wa...
  5. JamiiForums Tanzania Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

    Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea. Nimehesabu Magari yamefika 53. Zote ni V8. Noma sana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la TANROADS na Mfugale nadhani Magufuli ameanza kunielewa

    Nilisema wazi, kwamba kuna ajali nyingi sana na watu kufa nchini na sababu kubwa ni uzembe wa TANROADS, wala sio suala la madereva. Ndio kuna ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa madereva, lakini si kila ajali inatokana na uzembe wa dereava. Dereva anaweza kuwa mzembe na kusababisha ajali...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli: Je, Protocal inaweza kuamua thamani ya milioni 40,000,000 za Chadema kuwa chini ya mil. 38,000,000 za Mh Rais?

    Hilo ni swali kama mada inavyohusika. Huwa tunaambiwa muda una thamani kuliko pesa. Pesa unaweza kuzipata ukijali muda. Lakini muda ukikupita huupati tena. Tuangazie kidogo nguvu ya Protocali na muda kuhusu sakata lililoibuka la kulipiwa Mh Msigwa na Rais Magufuli. Mtakumbuka kila upande...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii, Rais Magufuli anakiri kuna mabaya yanafanyika chini ya utawala wake?

    Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli: 'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
  10. F

    JamiiForums Tanzania 2024 Watanzania tutaandamana kulazimisha Dkt. Magufuli aongezewe muda zaidi. Umeme wa Stieglers utakapowaka, hospitali, SGR zitaleta shangwe sana

    Habari wadau.. Nimeota maandamano makubwa ya kulazimisha Magufuli abaki Rais mpaka atakavyokosa nguvu yatatokea mwaka 2025 kutokana na kasi yake ya maendeleo.. Nawaza hivi hata treni ya umeme haijaanza kazi ila anapendwa sana na wananchi mpaka wapinzani wanakosa hoja za kumpinga.. wanabaki...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kamaliza kabisa mahakama na vyombo vya usalama

    Serikali bila kujua imeharibu kabisa imani ya wananchi kwa mahakama na vyombo vya usalama. Sababu kubwa iliyosababisha ni kuingiza siasa kwenye hivi vyombo muhimu. Kwanza kwenye mahakama JK amechagua majaji ambao hawakuwa mahakimu na wengi kuona hakuna umuhimu kuwa hakimu kama majaji...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  13. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

    Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai. Sina uhakika kama...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa. =================== (MOSCOW) — Russian...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

    Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana, Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mfugale awavimbia Waziri Mkuu na Waziri wa Ujenzi kwa kivuli cha Rais Magufuli?

    Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya Morogoro hadi Dodoma na kusababisha uvunjikaji wa daraja, basi aondolewe mara moja Morogoro na...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Rais Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza la mawaziri Ikulu jijini Dsm. Source TBC
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

    Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…