magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania. Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli ametambua uwepo wa viongozi wa dini wakati huu wa ugonjwa wa Corona pekee?

    Leo ndiyo siku ya kwanza ambayo Rais Magufuli amewaomba viongozi wa dini nchini kote pamoja na waumini wao, wamliiie Mungu wetu ili atuondolee na autokomeze kabisa ugonjwa huu hatari wa Corona unaosumbua duniani kote Wito huo sisi waumini wa dini mbalimbali tunaupokea kwa moyo mkunjufu na...
  4. JamiiForums Tanzania Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Kufuatia kuingezeka maradufu wa kasi ya sasa ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona, Je, tuendelee kuupongeza msimamo wa rais Magufuli wa ushujaa wa Ka Corona ni Ka Ugonjwa Kadogo, Tusitishane, Watanzania Tuendelee Kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo...
  5. JamiiForums Tanzania RC Makonda: Dar es Salaam tumetenga hospitali 25 kuhudumia wenye dalili za Corona na mh Rais Magufuli ametupa magari ya wagonjwa 20 yote mapya

    Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona. Makonda amesema ukifika katika hospitali hizo utapimwa magonjwa mengine yote na ukionekana uko salama ndipo damu...
  6. JamiiForums Tanzania Pwani: Ajali ya Magari imeua Watu 21 na wengine 15 kujeruhiwa. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Kuna tetesi kuwa kuna ajali imetokea huko mkoani Pwani wilaya ya Mkuranga, Gari ya kampuni ya Dangote imegongana uso kwa uso na gari aina ya Costa. Sent from my itel S32 using Tapatalk ===== Watu 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

    Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amedhihirisha kuwa ni kinara wa kutetea Haki za Binadamu kwa vitendo kwa jinsi anavyoshughulikia janga la COVID-19

    Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za...
  9. JamiiForums Tanzania Nauanika ukweli: Mwaka huu wagombea wote wa CCM lazima wawe 'Timu Magufuli"

    Kwenye siasa, ambamo nimo kwa miaka takribani arobani, timu hazikosekani. Kuanzia kwenye vyama vya siasa na hata kwenye chaguzi, ushindi hupatikana kupitia timu. Timu huratibu bila tabu; hutibu kama tabibu; hunogesha kama mkesha na hurekebisha kama maisha. Timu ndiyo kila kitu kwenye siasa na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa corona: Rais Magufuli nakuomba uchukue hatua hizi na nyinginezo utakazoshauriwa na wasaidizi wako vinginevyo unaweza kuja laumiwa

    Mimi kama mwananchi wa kawaida,nashauri uchukue hatua zaidi katika kudhibiti kusambaa kwa huu ugonjwa ambapo sasa tunaambiwa kuna jumla ya wagonjwa 46, vinginevyo wewe na serikali yako mnaweza kuja kubeba lawama kuwa hamkuchuka hatua za kutosha katika kupambana na huu ugonjwa ikitokea hali...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye kampeni mwaka 2015 huko Monduli Magufuli aliahidi kufanya kazi kama hayati Edward Sokoine,-Video

    Mwezi April tarehe 12 mwaka 1984 majira ya jioni, watanzania tulitangaziwa habari mbaya za kifo cha Edward Moringe Sokoine ambae alikuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mtangazaji wa habari hizo alikuwa ni hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere. Leo ni miaka 36 imepita...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaomsifia Magufuli leo kesho Lisu akiwa Rais watalamba matapishi yao?

    Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu? Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje? Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa...
  13. JamiiForums Tanzania "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu kumsikiliza mtu kauli na kuibaini kama inatoka moyoni au mdomoni. Ili uweze kuibaini kauli ni ya kutoka moyoni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, pamoja na Corona unayo nafasi ya kuiunganisha nchi

    Rais Magufuli kwa mara nyingine nakuletea ushauri ambao ni nadra kuupata toka kwa wanaojipendekeza kwako kwa maslahi yao. Kwa bahati mbaya pana watu gonjwa hili la Corona wamelifanyia siasa kwa maslahi binafsi. Busara na hekima vimewekwa pembeni kujaribu kuifanya jamhuri ya Tanzania kuwa ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti wahujumu uchumi: Mzee Kimiti amfananisha Rais Magufuli na mpambanaji shujaa Edward Moringe Sokoine

    Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli. Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Anglikana wamshukuru Rais Magufuli kuruhusu ibada

    ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mount Kilimanjaro, Dk Stanley Hotay amesema Watanzania wana kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kumpata Rais Dk John Magufuli aliyeruhusu ibada ziendelee wakati wa tishio la ugonjwa wa corona. Aidha, amewataka waandishi wa habari nchini kutekeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali awamu ya Tano na dhana ya kuishi kwa uongo uongo

    Mwaka 2018 TCCL Walitoa gawio la 1.5 bilion na 2019 2..1 bilion kwa serikali na nakumbuka ilikuwa Ikulu wakasifiwa sana kwa kutengeneza faida. Report ya CAG imewaumbua baada ya kuwaanika TCCL wanajiendesha kwa hasara na wameingia mikataba ya kimangungo inayolinyonya shirika. Hii inaonyesha zile...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais Dkt. Magufuli, huyu Mchungaji ameponya tatizo au sasa ndiyo amelizidisha zaidi?

    "Makabila yote yana umoja wao, sisi hatukuwa na umoja kabisa hatuna desturi kama za Wachaga wanavyokuwa pamoja mwishoni mwa mwaka, niliamua kuwaunganisha pamoja kuna Watemi wa Kisukuma ukienda kule Usukumani utawapata watu. Lengo lilikuwa ni kuwa pamoja katika kusaidiana, tuwe pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
  20. JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu mh. rais J. P. Magufuli

    Unabii huu ulitolewa mwaka jana na mtumishi wa Mungu Dr. Ian Ndlovu wa Zimbabwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…