magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwakemea Viongozi wa Dini, Magufuli Ameweka Rekodi Mpya

    Nimemsikiliza Rais Magufuli, akihutubia taifa baada ya kumwapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba. Kuna mengi aliyoongea JPM ambayo yanavutia mjadala. Mimi nijikite kujadili kwa kifupi alichosema Rais kuhusu Imani, Biblia na Viongozi wa Dini. Nianze kwa kumtahadharisha Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Dawa ya Corona inakuja: Magufuli apeleka ndege Madagascar kwenda kubeba dawa hiyo

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 3 amesema atatuma ndege Madagascar kwenda kufuata dawa ya mitishamba ambayo rais wa nchi hiyo anadai kuwa inatibu corona. Magufuli amesema kuwa amewasiliana na Madagascar baada ya kupokea barua rasmi kutoka nchi hiyo iliyoeleza kuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, samahani mimi sijakuelewa kuhusu COVID-19 tests...

    Mh Rais sisi Watanzania pamoja na unyonge wetu nakuku amini kama Rais wetu kiukweli hatukuelewi na mimi sitaki kuwa mnafiki napenda niweke kumbukumbu sio kubishana na mwalim hapana ila kumwambia mwalim sijakuelewa. Leo umesema mlipeleka sample za mbuz?, oil,mafenesi na mapapai na vilileta...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mbunge wa Vunjo mh Mbatia ndio mpinzani mwenye uzalendo

    Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali. Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano. Chanzo: Channel ten!
  6. JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mwigulu hawakujuana jana

  9. JamiiForums Tanzania Dalili za Utawala unaoelekea 'kaburini'

    Na Mwinjilisti Kamara Kusupa. DALILI ya kwanza na ya wazi ya utawala ulioshindwa ni ukatili. Utawala ulioshindwa kuiendesha nchi lakini bado uko madarakani ni lazima utatawala watu kwa ukatili mkuu. Dalili nyingine ya watawala walioshindwa kutawala lakini bado wakawako madarakani ili kusogeza...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    "Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu. Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli na Trump wanavyofanana

    1. Wote hupenda kutupia lawama Kwa waliowatangulia Ikulu. Kikwete na Obama. 2. Wote walijitapa kujiandaa na janga la Corona..vizuri na matokeo ni kinyume.. 3. Wote waliudharau ugonjwa Kwa kuuita ni mafua tu.. 4. Wote hawapendi lockdown..Trump hadi anabishana na Magavana wake 5. Wote...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano @MSalimu Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video cha wenyeviti wa kanda za Afrika

    Akiwa kama mwenyekiti wa SADC, Rais Magufuli amekosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa AU ambaye ni Rais wa Afrika Kusini mh. Cyril Ramaphosa. Rais Magufuli ndiye kiongozi pekee wa kikanda aliyekosekana kwenye kikao hicho. Kwa maana hiyo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Magufuli hata vikwazo walivyopitia vimeshabihiana

    KATIKA awamu ya kwanza ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana na Rais wa awamu ya kwanza, Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mfanano unaoaminika kujikita kwenye uwajibikaji wao kwa lengo la kuliletea taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli

    KATIKA miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dk John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana kwa kiasi kikubwa na rais wa awamu ya kwanza, hayati Mwalimu Julius Nyerere Uzoefu unaonesha kuwa, viongozi wenye sifa zinazofanana hata kama wangepishana...
  17. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

    Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema. Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa. Sasa ni mwendo wa bata na...
  19. JamiiForums Tanzania Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973

    Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania ametoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibari yanayotarajia kuadhimishwa siku ya kesho tarehe 26/04/ 2020. Katika salamu hizo Mh. Rais amewataka Watanzania wote kutumia maadhimisho hayo kutafakari Muungano huo ambao...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ataka wataalamu wa Kemia waje watueleze sintofahamu ya Fumigation na Barakoa baada ya kutafakari hotuba ya Rais Magufuli

    Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona. Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…