Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi.
Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno.
Hebu fikiria yafuatayo.
Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada.
Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya.
Naye...
Nianze kwa kusema mimi sio muumin wa chama chochote cha siasa Tanzania, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania.
Nimekua nikimfuatilia kwa ukaribu Rais Magufuli toka ameingia madarakani mwaka 2015. Huyu mzee ni mtu ambaye nimegundua ana nia nzuri na hii nchi, ila tatizo ana maadui wengi...
Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR...
Hili Jambo limenishangaza kidogo.!
Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
======...
RAILA KAMSHAURI MAGUFULI YUPI?
Raila Odinga anadai amempigia Rais wetu Simu kumshauri kuhusu Corona. Anavyodai sijui hajampata kwenye Simu.....
Kitu ambacho Raila anatakiwa kukifahamu ni kwamba Kuna Magufuli wawili, Mmoja ni Rafiki yake ambaye wanaweza kujadiliana naye chochote kwa wakati...
Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita!
Denis Mpagaze
___________________________
Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Dear Mr. President,
First of all I would like to thank the god for the life he has given us.
Allow me to congratulate you personally and on behalf of the citizens from Tanga Region and Tanzanian as whole on your...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi kuhus Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwa ajili ya fainali za AFCON kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 zilizofanyika mwaka 2019
Katibu Mkuu wa TFF, Kidai Wilfred amesema fedha hizo hazikuingia kwenye akaunti za fedha...
Introduction: Mimi sio mwanasiasa, mimi ni mjasiriamali. Shughuli zangu ni Pamoja na media, tourism, lodging, na transport services. Pia nafanya shughuli kati ya nchi ya Tanzania na USA. Ujasiriamali una faida sana, lakini pia una changamoto hasa ukiwa unasimamisha biashara mpya.
Napenda...
MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee wa kutoifunga Tanzania (lockdown) katika kipindi hiki cha Ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka wananchi wake kuendelea kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari za kujikinga...
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
Ndugu Mheshimiwa Rais wetu katika kipaji ambacho Mungu amemjalia ni uwezo mkubwa na ujasiri wa kuainisha tatizo na kuliongelea bila kung'ata maneno. Kupitia njia hii imemsaidia kumpatia mashabiki lukuki kabla na baada ya kua rais.
Kuna issue ya ufisadi alionyesha ujasiri kuiongelea, mikataba...
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile tunachokiita kwa Kiingereza kama "check and balances"
Hali ni tofauti sana katika nchi hii, kwa kuwa Rais...
Tuko katika vita na kama ilivyo kawaida ya Watanzania umoja wetu ndiyo nguvu yetu. Umedhihirisha kwamba wewe ni jemedari hodari katika hili.
Ulimwengu mzima unatafuta kujua huyu Magufuli ni wa aina gani? Vitabu vya historia vitaandika habari zako kama mtu shujaa wa karne.
Naamini COVID19...
Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7.
itazame video yenyewe unipee maoni yako.
DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇
The Most Beautiful & Developed African mega...