magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika, SADC, EAC na UN mpeni Rais Magufuli tuzo ya heshima

    Kiongozi anayefanikiwa kuwaondolea hofu watu wake, kuwaongoza katika kipindi kigumu na kuwavusha salama ndilo hitaji LA Dunia kwa sasa. Kiongozi anayepanga mikakati, kuisimamia na kufanya maamuzi magumu yenye manufaa kwa nchi take, Huyo ndiye kiongozi bora. Pamoja na hatua madhubuti...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

    Ukweli mchungu, Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli. Lissu...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Rahma Shangali: Mambo 7 niliyojifunza toka kwa Rais Dkt. Magufuli kutokana na janga la corona

    Dunia bado inaendelea kupigana na ugonjwa wa korona. Miezi ya hivi karibuni imekuwa ya heka heka na maamuzi mengi kwa karibu kila mtu duniani kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa. Binafsi nimetumia muda huu kuchukua tahadhari kuzuia maambukizi kwangu, familia na wale wanaonizunguka lakini pia...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020

    Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo. Kuna Habari za kuaminika kwamba fedha hiyo imekopwa kwenda kujengea miradi mikubwa ya Serikali...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Simkubali Rais Magufuli ila hapa na Sweden, Belarus wanaenda kueleweka

    Sitaki ubishani siko kwenye mood hiyo mimi ni mpingaji wa Magufuli toka zamani ila ukweli ni kwamba inaonekana hii corona tutaishi nayo sijapenda approach yake ya kuficha data ila clearly ni kama vile alitaka kusema to hell with it mtaishi nayo tu na ukweli ndiyo huo naweka video hii hapa,tuishi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani. Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally. Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Rais Magufuli inaashiria kuwa kuna matamshi mengine anatoa kwa kutumia mamlaka yake vibaya

    Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia. Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nakubali busara za Rais Magufuli dhidi ya lockdown iliyosababisha Ulaya kukoma njaa kutaka kujiua

    Kuna wanaofikiri kukosoa ni kuchukia, lakini wanaojua siasa za kweli wanajua kukosoa ni kujenga, hasa kama unakosoa kujenga sio kubomoa. Pia, kwenye siasa kuna kusifia pia, hivyo leo namsifu rais wetu, sio kwamba mie ni CCM, in fact sina chama, ila mwananchi na rais ni wa nchi nzima sio chama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

    Tunakumbushana tu alama njema zilizowekwa na viongozi wetu wastaafu. Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu. Kwa Dkt. Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Wagombea watarajiwa wa CCM wajipime kwanza kama wanatosha, wasikurupuke tu na kwenda kukiumiza chama

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka. Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Miaka mitano ya Rais Magufuli ni somo tosha la Uraia kwa vitendo. Inatosha, tuseme Hapana

    Habari wana JF Ukijifunza kwa nadharia tu, mara nyingi watu walio wengi huwa ni vigumu kupata ufahamu mpaka wafanye vitendo (practical). Mwaka 2015 vyama upinzani viliwaeleza namna wananchi watakavyooshwa na Serikali chini ya Rais Magufuli lakini hawakuamini! Miaka mitano baadaye kila mtu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

    Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,- “Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

    Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana

    Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
  18. JamiiForums Tanzania Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

    Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+ Ikulu ya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania LISSU: Muda ukifika nitaomba ridhaa kupeperusha bendera ya CHADEMA.

  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu Rais, tumempata Dkt. Magufuli anatosha

    Utamu wa ngoma ingia mwenyewe ucheze. Na ukitaka kujua ayafanyayo Dr John P Magufuli wewe ishi Tanzania na ukiwa nje ya Tanzania hakikisha ngoma ya masikio yako iko vizuri na kingine zaid kula mchicha wa kutosha ili mboni ya macho yako iwe na uwezo wa kuyaona ayafanyayo. Wakati Dr John P...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…