magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuna demokrasia pana wagombea 29 wachukua fomu kugombea Urais wa Zanzibar hadi sasa, CHADEMA ni 3

    Hadi sasa jumla ya wagombea 29 wamechukua fomu xa kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais Zanzibar kupitia CCM. Kwa upande wa wapinzani CHADEMA ina wagombea 3 na NCCR Mageuzi 1 CCM ni baba wa demokrasia Maendeleo hayana vyama!
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Nitamchagua Magufuli tena kwani ametujengea uthubutu

    Ukiacha mafanikio mengi tunayoweza kuyaelezea ya Mheshimiewa Rais Magufuli nimewiwa kuelezea moja ya mafanikio makubwa ambayo yatabaki kwenye mioyo ya Watanzania. Fanikio hilo muhimu ni ari ya kipekee aliyotujengea Mheshimiwa Rais. yaani sisi sio wanyonge na kamwe hatutakiwi kuwa wanyonge...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM. Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Natangaza rasmi kumpigia kampeni yeyote atakayesimama dhidi ya Magufuli kwenye Kinyang'anyiro cha Urais 2020 akawa serious

    Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli. Bado nawapima Lissu? Membe? Zitto? Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya Britannica
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

    " TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020. Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

    Rais Magufuli amempigia simu waziri wa madini Mh. Dotto Biteko na kumpongeza mchimbaji mdogo Samimu Laizer aliyeiuzia Serikali kipande kikubwa cha Tanzanite chenye thamani ya sh 7.8 bilioni. Rais Magufuli amemtania Laizer kwa kusema sasa ataenda kuongeza mke na ikimpendeza aoe mwanamke wa...
  9. JamiiForums Tanzania Fears that President Magufuli will create a dictatorship in Tanzania

    Jane Flanagan Wednesday June 17 2020, 9.00am, The Times Tanzania dissolved its parliament and set course for an election in October days after an opposition leader was badly beaten and laws were passed granting senior government figures immunity from prosecution. There is growing concern that...
  10. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

    Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi. Museveni amesema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

    1. Chini ya utawala wake kuna Ombwe la utawala bora na unaoheshimu sheria na katiba Kitu cha msingi kabisa ambacho raisi anapaswa kukishika kama mboni ya jicho lake ni kutimiza kiapo alichoapa mbele ya Mungu, na wanadamu ni kuheshimu katiba, tumeona katika utawala huu mambo kadhaa yakifanywa...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mambo makubwa mazuri Rais Magufuli aliyowafanyia Wananchi wa kawaida

    Wapiga kura wengi ni watu wa kawaida wanyonge sio wakaa maeneo ya uzunguni, katikati ya miji na maeneo ya wenye nazo na wenye mavyeo Rais Magufuli toka ashike strategy yake imekuwa kupeleka maendeleo kwa wapiga kura watu wa kawaida walio wengi Baadhi ya Makubwa aliyowafanyia watu wa kawaida Ni...
  13. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Rais Dkt. Magufuli Kutuanikia Madhaifu (Mapungufu) ya Wateule wake Mwenyewe kila anapowatumbua ina tija Kimaendeleo na Kiuwajibikaji?

    Hivi Mwalimu anayefundisha Darasa lake mwenyewe na kila mara Wanafunzi wake Wanafeli tu tatizo ni Wanafunzi au Yeye Mwalimu mwenyewe?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ni Bora kuliko Kikwete, Basi naamini ajaye ni bora kuliko Magufuli. Miaka 10 ikiisha aondoke

    Kama baadhi ya watu wanavyoamini kuwa Rais Magufuli amefanya mambo mengi na Mazuri kuliko Kikwete, ndivyo hivyo ninavyoamini Mimi kuwa Atakayefuatia baada ya kipindi Cha miaka kumi cha uongozi wa Magufuli kumalizika, atakuwa Bora kuliko Rais wa Sasa na ataifanyia Tanzania mambo makubwa kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muda wa kumjadili,'kumsema' na kumkosoa Dr. John Pombe Magufuli

    Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata Mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa. Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa...
  16. JamiiForums Tanzania Kipanya: Sifa kuu za mgombea Urais Z’Bar uwe kipenzi cha Magufuli

  17. JamiiForums Tanzania Magufuli anapendwa sana!

    Unapendwa hutaki uchaguzi huru? Unapendwa hautaki media ziwe huru? Unapendwa hautaki tume huru ya uchaguzi? Eti unapendwa hata kukosolewa hutaki unashinda kuwaita watu wanatumika na mabeberu! ona sasa kupendwa kwako umechapisha form moja ya kugombea urais. Kama tu ndani ya chama haukubaliki...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

    Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea. Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea. Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Magufuli Arusha ni wa kupongezwa

    Rais Magufuli tumpongeze pale anapofanya maamuzi ambayo yana manufaa kwa taifa kwa ujumla na hapa ameweka taifa kwanza. Kama nilivyosema kwa mimi navyomjua Rais Magufuli alikuwa anapenda vijana viongozi wa upinzani Arusha kwa maendeleo walioleta hata Lema Rais Magufuli anampenda kama mtu mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania. Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…