Rais wangu Magufuli, Piga nyungu sana maana kikohozi chako kinanipa wasiwasi mkubwa!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi.

Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi mno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.

IMG_20200611_221717.jpg
IMG_20200611_221712.jpg
IMG_20200611_221706.jpg
 
Ingekua ni corona hata kusimama na kuhutubia ingekua mtihani. Haswa muda ambao na dalili ya kukohoa ishakuanza.

Alisema mwanae aliumwa na akapona, mbona ni interval kubwa tangu huyo mwanae aumwe ndiyo dalili azipate leo?
 
Rais wangu tangia uhutubie kuhusu mapapai kuwa na Corona takribani mwezi wa nne (miezi miwili sasa) nakuona unakohoa tu. Nakusihi utandike nyungu la nguvu maana kikohozi chako cha leo kimezidi.

Hapa naweka picha za jinsi ulivyokohoa leo, ni nyingi muno! Aisee mkuu wangu, piga nyungu sana kwa kweli.
View attachment 1475579View attachment 1475580View attachment 1475581
Aise isije ikawa ya yule dikteta wa Bujumbura maana nae kwenye mkutano wake wa mwisho alikohoa kama kameza kungu mwisho mautitumuombeee Rais wetu amalize muda wake oktoba salaaama
 
Back
Top Bottom