magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wapya watano

    Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

    Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  4. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kupanda kuwa uchumi wa kati chini: Mkapa amechangia 194%; JK 96% na Magufuli 10%

    Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli). Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati...
  7. JamiiForums Tanzania Hii tumbua tumbua ya Mheshimiwa Rais Magufuli, hivi sasa lazima iangaliwe kwa jicho la tatu!

    Kwa uteuzi aliofanya leo wa kumteua Kamishna Thobias Andengenye kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Mkoa wa Kigoma, ni lazima sasa kila Rais anapotoa sababu za kumtumbua mteule wake, ni lazima Wananchi tuchunguze kwa jicho la tatu, je ni kweli sababu anazotoa Rais Magufuli, kuwa ndiyo zenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado inahitaji Rais kama Magufuli?

    Kama ilivyo ada na kwa jinsi hali ya hewa ya siasa ilivyo kwa sasa ni wazi kabisa kwamba sasa ni Rasmi JPM ndiye mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM. Tunatambua kuwa JPM anayo nia, sababu na uwezo wa kuhakikisha kwamba anabaki madarakani katika kipindi kingine cha miaka mitano. Mengi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekuza GNI kwa wastani wa USD 80 kwa miaka mitano, mwaka 2005-2010 Kikwete aliikuza kwa wastani wa USD 220!

    Wakati MATAGA mkishangilia sana ni kuwa Rais Magufuli hajafanya chochote zaidi ya siasa ambazo jana tu nilimuweka kundi la watu wasio jua kuweka facts huku nikimpa namba 1. Wakati JK anaingia madarakani mwaka 2005 GNI ilikuwa 500USD ila mwaka 2010 pamoja na kupigwa makombora kila kona GNI...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

    Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli. Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote vya siasa ili tuweze kumpa heshima ya kipekee Rais Magufuli aweze kupita bila kupingwa katika uchaguzi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magufuli will lose the coming election

    MAgufuli will lose the coming election...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti Taifa wa CCM anaogopa Watu Kuchafuana na Kupeana maneno ya Shombo Kipindi hiki cha kuelekea Kuanza kwa Kampeni za CCM?

    Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya. Kwanini Mwenyekiti...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wachina wanasubiri Rais Magufuli aondoke kwenye bandari

    Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni. China watahakikisha wanatumia kila namna...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema kuzunguka nchi nzima kumnadi Rais Magufuli

    Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya mkutano mkuu wa TLP Taifa Pia soma Uchaguzi 2020 - TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi

    Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yuko vizuri kwenye ulinzi wa mitaji ya umma, yaani public capital kuliko Rais yeyote aliyemtangulia

    Moja ya majukumu makubwa ya Rais ni kusimamia vizuri mapato na matumizi ya serikali. Lakini ana kazi ingine kubwa sana ya kusimamia mitaji ya umma ambayo pesa za serikali zimewekwa kwenye vitega uchumi mbalimbali kwenye mashirika ya umma na taasisi ii hiyo mitaji isife. Tunakumbuka kwa marais...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tafakari hili haraka sana, Wapambe wanakudanganya

    Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana! Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Gadaffi na Sadam...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

    Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno. Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

    Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana. DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA msisahau kabla kampeni hazijaanza, Dkt. Magufuli tayari ana uhakika wa kura zaidi ya milioni moja!

    Siasa ni sayansi na mipango. Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais. Panapo uzima hizo ni kura tayari za mapema asubuhi. Hapo bado kampeni hazijaanza. Katika mazingira haya chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…