Kipanya: Sifa kuu za mgombea Urais Z’Bar uwe kipenzi cha Magufuli

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1592885478746.png
 
Kwny ziara ya Znz Mh.Rais alimsifia sana Jecha akashauri apewe tuzo ya dhahabu kwa kuepusha vurugu za uchaguz, akiwa Pemba akamsifu sana Mbarawa kwa kuwaambia Wapemba mmemnyima Ubunge nkawakomesha nkampa Uwazir wa Wizara 3 nlizounganisha, Hussein nae akasifiwa kwa umakin wake wakat akimuapisha Simbachawene akimponda Kangi (Awilo longomba).
 
Kiuhalisia na ukirejea hotuba za m/ kiti wa CCM taifa utagundua watakaochaguliwa wengi Ni kutokana na Mambo ya nje tu na si sifa za kiongozi,uadilifu, uzalendo n.k

Bali undugu, urafiki, ukanda, kukomoana, ukabila n.k
Pia itategemea ameamkaje siku hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom