Namuunga mkono Rais Magufuli hata Dr Kigwangalla alikuwa namba 3 nyuma ya Bashe na Selelii

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,762
Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.

Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.

Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mtu anapita kura ya maoni halafu hapati nafasi na ccm mnaona fahari kuwatangazia umma kwamba mlifanya hivyo. Ndio maana hamuoni shida mpinzani akishinda mnabadilisha kura zake mnapeleka kwenu. Jamani tuwakatae wezi hawa wa kisiasa.
 
Ushinde kwa rushwa halafu uachwe tu!
 
Inaonekana CCM Zanzibar wamewaambia makada wao wajitokeze kwa wingi zaidi kuchukua form ya Urais kuficha fedheha ya Jecha. Yani issue ya Jecha hata maCCM wenyewe hawaelewi alitokea wapi.

Tafakari hii.
 
Nachukua fursa hii kukubaliana na mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli kwamba kuwa wa kwanza kwenye kura za maoni siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea.

Kwa mfano Dr Kigwangalla mwaka 2010 alikuwa mshindi wa 3 lakini ndiye aliyeteuliwa kugombea.
Mwaka huu Dr Kigwangalla amegawa baiskeli kwa wapiga kura wote jimboni kwake na ni dhahiri atakuwz namba moja kwenye kura za maoni hivyo itapendeza zaidi ile kanuni iliyotumika kumuingiza bungeni itumike kumrudisha Muhimbili akatibu.

Ni vema wanaccm wakaielewa vizuri kanuni hii kwani ni silaha nzuri sana ya kupambana na rushwa.

Maendeleo hayana vyama!

Hapa amesema kweli tupu, maana hata yeye hakuwa namba moja kwenye urais, lakini ndio aliyetangazwa.
 
Kuna ufanunuzi gani kwenye hilo tendo?
Mtoa mada anatakiwa afafanue kama ni viashiria vya ruswha au ni jambo ambalo halina uhusiano na rushwa.
Mbunge wa Ccm kuwagawia viongozi wa Ccm jimboni kwake usafiri wa baiskeli ni rushwa?
 
Kwanini asubiri mpaka kipindi cha karibia uchaguzi? Hivi unatetea nini hasa hapa?
 
Back
Top Bottom