mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. OPEC na Urusi zakubaliana kupunguza uzalishaji mafuta

    Urusi pamoja na mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi duniani (OPEC) yamekubaliana kupunguza kiwango cha uzalishaji mafuta kwa takribani mapipa milioni 10 kwa siku ili kuidhibiti bei iliyoporomka kutokana na janga la kirusi cha corona na vita. Punguzo hilo, ambalo liliafikiwa kwenye mkutano...
  2. Uhusiano wa kiasi cha mafuta na matumizi yake

    Wakuu heshima nyingi ziwafikie Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full tank), yanadumu muda mrefu kuliko ukiwa unaweka kidogo kidogo (vibaba). Ikoje hii technically...
  3. Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
  4. S

    EWURA msitufanye wajinga; bei ya mafuta soko la Dunia ikipanda mnapandisha haraka bei ya mafuta nchini lakini ikishuka mnajifanya vipofu na viziwi!

    Ninachochukia siku zote ni pale mtu anapoamua kukutumia kama mjinga ili apate faida. Huwa naona kama ninatukanwa. Na huu ndio mchezo ambao EWURA wamekuwa wakitufanyia Watanzania. Utaona kwamba pale ambapo bei ya mafuta katika soko la dunia ikipanda, mara moja EWURA hupandisha bei ya mafuta...
  5. Bei ya mafuta yashuka kwa takriban asilimia 30 baada ya makubaliano katika mkutano wa OPEC kushindikana

    Bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 30, kiwango hicho ni kikubwa tangu mwaka 1991 wakati wa Vita vya Ghuba, baada ya Saudi Arabia kuamua kushusha bei. Hatua hiyo inaonekana kama kujibu hatua ya Urusi kukataa kupunguza uuzaji wa petroli. Wakati wa mkutano nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi...
  6. Matumizi ya mafuta ya Olive ni nini?

    Habari wadau wa JF. Nilikuwa naomba msaada wa haya mafuta yanatumikaje maana ninayo muda mrefu sijui matumizi yake, msaada please.
  7. Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...
  8. Serikali kuzima Mitambo yote ya TANESCO inayotumia mafuta mazito kufikia mwaka 2020: Ni baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020. Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
  9. E

    Nauza mafuta ya kupikia ya mawese

    Nauza mafuta ya kupikia ya mawese kwa anaye hitaji be ni Tsh 3,000 lita moja Tsh 1500 nusu lita Tsh 800 robo lita
  10. Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
  11. Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

    Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…