Serikali kuagiza mafuta moja kwa moja kutoka kwa mzalishaji kutaleta unafuu wa bei?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,347
2,000
Habarini za asubuhi wadau,

Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji.

Nikajiuliza inamaana miaka yoote hii tunapigwa na watu-kati Serikali haikuona?

Je, hapa sio kwamba kuna wajanja wanataka kutupiga na bei itabaki palepale?

Huu utitiri wa tozo, Kodi utapungua ili kushusha bei ya mafuta?
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,055
2,000
Shida ya Tanzania ni porojo.

January atakwama kwa kutaka kutumia JK style kwenye utendaji wa kazi, aina ya ufanyaji kazi huu ni kwa nchi iliyoendelea tayari na watu wake wanajielewa kulingana na misingi iliyowekwa. Sisi wengi ni punda tunaohitaji mijeredi.

Mafuta ni bidhaa muhimu na ni index muhimu kwenye uchumi wa nchi, inahitaji userious kudeal nayo na akili smart. Solution pekee itakayotuokoa ni kujenga haraka refinery plant na kuwa Tanzania oil tankers, na huko kwa hao wenye visima tunafuata crude oil tu. Hii itatusaidia kwetu na mengine kuuza, lakini tutakuwa na utayari wa kuanza kununua crude oil ya M7 kwa either kuweka pipeline kutokea Tanga au kujenga refinery palepale Tanga.

Kwa wakati huu tunaweza kuanza kuondoa vitozo vyote kwenye mafuta ili bei zishuke mtaani, kifupi mafuta iwe tozo free bidhaa ili kumsaidia mraji. Kuna vitozo kwenye mafuta na umeme ni kuziwekea mazingira PUMBAVU zituibie tu kwa kukaa vikao feki na kulipana viposho vya tu.
 
Hapa nanusa harufu ya upigaji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom