mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

    Mungu atunusuru Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
  2. J

    Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  3. Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

    Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu Makamba.
  4. Ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda.Watanzania tuchangamkie fursa badala ya kulalamikia Serikali.

    Habari Wakuu. Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa. Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
  5. S

    Hivi ukiongeza kodi kwenye mafuta, bei itabaki pale pale?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na sitashangaa wafanyabiashara wa mafuta wakapunguza au kuacha kabisa kuagiza mafuta in case wanapata hasara. Tunaweza kufurahia haya maamuzi leo hii halafu kesho tukaanza kulia kuna uhaba wa mafuta. Inawezekana tunafanya maamuzi bila kuwaza kwa mapana nini...
  6. Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 SEPTEMBA 2021 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Septemba...
  7. F

    Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  8. Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  9. Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  10. Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  11. Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  12. E

    Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

    Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake? **Correction: Speak= Spea
  13. Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

    Habari! Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi. Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa...
  14. Uingereza: Mchungaji Mwenye Asili ya Kenya Kortini kwa Kuuza Mafuta analiyodai yanatibu Covid-19

    Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na kufanya Biashara isiyo na usawa (fairness) Hakimu wa Mahakama ya Lavender Hill ameshindwa kutoa...
  15. Siasa za Mafuta na Gesi: A Performance Audit Report On Produced Graduates in Oil and Natural Gas Industry in Tanzania

    A PERFORMANCE AUDIT REPORT ON PRODUCED GRADUATES IN OIL AND NATURAL GAS INDUSTRY IN TANZANIA EXECUTIVE SUMMARY All personnel either directly or indirectly employed by International Oil and Natural Gas companies have to meet certain professional standards and levels of qualifications. Therefore...
  16. N

    Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
  17. Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

    Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot...
  18. SoC01 Kilimo cha kimkakati ili kuondoa upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada. Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia nchini.Ili kuondokana na tatizo hilo nchi inatakiwa kuanzisha kilimo cha mazao yafuatayo...
  19. Bei za mafuta Zapanda tena

    Bei za mafuta zimepanda tena, hii inaashiria kuendelea kuongezeka kwa gharama za maisha. Pengine kwenye soko la dunia bei imeongezeka Ila serikali isingeongeza kodi kwenye mafuta kwenye hii bajeti mpya basi Bei zingekuwa kidogo afadhali. Sikujua kwa nini serikali iliongeza kodi kwenye mafuta...
  20. Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…