Tushirikiane mafundi na wateja

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,508
1,642
Nimeamua kuanzisha group ili liwe msaada kwetu mafundi na wateja kwa pamoja.ili litakua group la kusaidiana kutatua matatizo ya kiufundi na ushauri vifaa vinapopatikina kwa urahisi ila la kuzingatia tusiwe wajanjawajanja tufanyeni kazi.
Simu software vs hardware tutakua tunaweka solution zake
Computers tunaweka solution
Tv music tutaweka solution
Karibuni kwa ushauri tushirikiane
Link hiyo hapo chini

Okay, vizuri
 
Nitachukua hii link maana huwa napambana na changamoto mbali mbali, thank's.
 
Back
Top Bottom