Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta.
Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja.
Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana.
Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
Kwema Wakuu!
Poleni na Misiba na Kwa wale wanaofurahia niwape pongezi. Ndio Maisha hayo. Sio lazima Msiba wako uwe Msiba WA Watu wote, wengine kwao inaweza kuwa ni sherehe.
Msimu tunaoelekea ni msimu wa baridi, masika ndio imemalizika hivyoo! Kikawaida baridi ni mwezi wa sita na wasaba lakini...
Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu.
Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana.
Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua kunyonya, umri wake bado mdogo hata wiki hana, sasa kuna mtu alisema ili kumkinga mtoto dhidi ya mafua...
Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo.
Ikumbukwe pia pombe ni mojawapo ya viambato vinavyotumika kwenye kutengeneza baadhi ya dawa za kutibu...
Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli..
Yaan inafikia kipindi nikiwa safe namuogopa sana mtu anayeumwa Mafua maana nikimkaribia tu sichelewi kuyazoa.
So...
Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya.
Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
Mlipuko wa ugonjwa wa Mafua ya ndege uliotokea uingereza umeelezwa kuwa unahatarisha ustawi wa maelfu ya ndege wanaoishi katika kisiwa cha FARNE ambacho ni kisiwa muhimu kwa utalii. Kisiwa hiki ni makazi ya aina mbalimbali za ndege pori.
MY TAKE: Kwakuwa baadhi ya ndege husafiri maili nyingi ni...
Habari,
Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa.
Asante
Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia.
Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji.
Natanguliza shukrani
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je?
Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo.
Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life.
Governments are seizing a moment...
Moja kati ya sehemu ambayo napenda kuisoma ni RT ambao wamekuwa wakiripoti vitu kwa uhuru wote, hadi sasa ni wao ambao wanaripoti kuhusu maandamano yanayoendelea nchi za Ulaya ya watu ambao hawataki chanjo. Maandamano ambayo hautayasikia kwenye vyombo vyetu
Leo kupitia channel yao ya telegram...
Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida.
Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili.
Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni
Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa
Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi,
kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.