Mafua yanayosababisha maumivu ya mwili: Hali ipoje huko kwenu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,735
Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je?

Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
 
Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je?

Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
Labda ni amicron imekuja kivyake
 
Hiyo hali nilikua nayo jana, jioni nikachemsha tangawizi, hiliki, mdalasini na limao kisha nikanywa. Namshukuru Mungu nimeamka vizuri siku ya leo japo mafua yapo lakini haya nguvu kama jana.
 
Back
Top Bottom