maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Airtel kwenye baadhi ya maeneo inazingua

    Mimi ni mtumiaji wa Airtel, nikiwa Dar inaperfom vizuri sana hasa maeneo ya Kimara ninapoishi. Ila toka nimeanza project za kwenda mikoani nimegundua Airtel ni poor sana, nikiwa maeneo ya Moshi, Arusha, Manyara na Dodoma Airtel wanazingua sana. Siku moja nimeingia Dodoma na hela Yangu iko...
  2. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Connection: Kwa aliye serious maeneo ya Iringa na sehemu jirani.

    Wakubwa na wadogo, Salutations!! Nipo Iringa na katika harakati za kusaka ajira za hapa na pale (japo nimepata), juzi kama masihara nilielekezwa sehemu na nikapewa namba ya meneja, nikampigia. Akaniuliza baadhi ya maswali ambapo sikuwa na vigezo wanavyohitaji wao Kisha akaniambia niende Ofisini...
  3. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

    Salamu Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo. Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji. DAWASCO mpo wapi? Waziri...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri maeneo yapi mkoa wa Dar es Salaam naweza pata chumba kizuri masters kwa bei poa?

    Naombeni mnisaidie ni maeneo yepi ktk mkoa wa Dar naweza pata chumba kizuri cha masters kwa bei nzuri ya kizalendo or n maeneo yepi dsm unaweza mshauri mtu akapange chumba na kuanza maisha.
  5. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Magereza na Majeshi yanaongoza kwa migogoro na Wananchi

    Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa...
  7. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Maeneo yeye dhahabu Tanzania na hali ilivyo kwenye maeneo hayo

    Wandugu hebu tufanye kucatalog maeneo yote inakopatikana na kuchimbwa dhahabu Tanzania. Nasikia kuwa sehemu nyingi zenye udongo mweusi(iron) na mwekundu (iron oxide) huwa ni rahisi kupatikana madini ya dhahabu. Sasa Tz kuna maeneo mengi sana yana dhahabu, tujuzane maeneo hayo na hali ya...
  9. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

    Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie. Chanzo: ITV...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Mabina wa CCM na Mawazo wa Chadema vilikuwa vya kinyama sana, baadhi ya maeneo watu ni makatili sana!

    Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
  13. Latifasaid

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  15. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

    Israeli Air Force struck Hamas and Islamic Jihad terror infrastructure, military bases, weapon warehouses and other terror targets in Gaza. 👏
  16. S

    JamiiForums Tanzania Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kufika Gaborone, ile gereji ya watanzania maeneo ya Mogoditshane, Gaborone bado ipo?

    Hii ilikuwa kama kijiwe cha wabongo kukutana wakiwa Gaborone ili kubadilishana mawazo na kupeana mikakati. Ilikuwa ikimilikiwa na wabongo toka maeneo ya Iringa hivi hii gereji bado ipo?
  18. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  19. Carnivora

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel unasumbua mno maeneo ya mikoa ya Pwani

    Habari zenu wana jamvi, Katika siku za karibuni mtandao wa simu wa Airtel Tanzania unasumbua sana maeneo ya Dar es Salaam, Mkuranga, Kibiti, Rufiji hata Kilwa. Hili tatizo limewahi kujitokeza siku za nyuma lakini wenye mtandao wao wakakaa kimya kama vile hakijatokea kitu. Nitaeleza siku ya...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kambi za wakimbizi kurejeshwa Serikalini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamis Hamza amesema Serikali inaendelea na jitihada za kupunguza tatizo la wakimbizi Nchini kwa kuwarejesha makwao wakishirikiana na Jumuiya za Kimataifa na Nchi wanazotoka Akiwa Bungeni Dodoma, amesema "Baada ya Wakimbizi hao kuondoka maeneo yote ya kambi...
Back
Top Bottom