maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

    Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya wamachinga lazima yawe na kikomo cha umachinga

    Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa. Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Apartment Mbezi,Kimara na maeneo jirani

    HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Chumba kinahitajika Mazimbu, maeneo ya Ipoipo au FK

    Wadau, kama upo humu na una chumba maeneo ya Mazimbu, Ipoipo au FK nipange chap. Hata kama una chumba zaidi ya kimoja itakuwa poa sana
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wamachinga waandamana kutaka kupewa vizimba katika maeneo waliyopangiwa

    Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi. Kundi la...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Tusinunue bidhaa za machinga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa

    Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu. Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  8. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania TARURA huu ni uhuni na usaliti kwa kata ya Kitunda, Mzinga na maeneo jirani

    Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi. Wameweka bango kubwa la ukarabati wa barabara na kushangaza wamepitisha greda na kumwaga kifusi cha vumbi. Hata kama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko maeneo ya Ziwa Rukwa

    Tetemeko la ardhi limetokea leo saa 2:50 asubuhi maeneo la Ziwa Rukwa. Mliopo maeneo hayo mtujuze.
  10. Kijana Wa Dar

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

    1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola 2. Supa Lugalo 3. Bondeni Kawe 4. Makonde 5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki 6. Afrikana 7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza kutoka kwa wadada wa kazi ( dini na maeneo wanayotoka iko nyuma kielelimu)

    Sina nia mbaya! Lakini kwa muktadha wa nadharia! Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi! Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani! Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ajali za Bodaboda ni janga la taifa. Ajali nyingi kwa Dar ni Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta na Goba

    Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza. Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda. Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  17. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Maeneo matano ulipo ushindani wa Rayvanny na Harmonize

    Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021. Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Maeneo 10 usiyoruhusiwa kutembelea duniani

    1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Serikali inapaswa kuanza kutoa ajira za mikataba baadhi ya maeneo

    Kutokana na kukua kwa tatizo la ajira nchini na kushuka kwa uwezo wa serikali kuajiri, Mhe. God bless Lema kupitia space ya Maria Sarungi anashauri serikali kuanzisha mfumo ajira za mikataba ya miaka miwili ili watu waweze kupata kazi na kuendesha maisha kuliko kuendelea kung'ang'ania mfumo wa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
Back
Top Bottom