maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

    UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020. Kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kwenye maeneo ya stendi za magari ya usafiri

    Wapiga debe ni watu wenye vurugu, watu wa kuwapotosha abiria, watu wa kuwaibia abiria, watu wanaofanya bei ya usafiri kuwa kubwa, ni watu wanaoleta kero. Najiuliza hivi Serikali mnashindwaje kupiga marufuku wapiga debe kutoka kwenye vituo vya usafiri?.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  4. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

    Habari wana MMU, Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye. Naanza mimi: => Kwenye maguest house => Kwenye migahawa ya chakula => Kwenye ma bar na kumbi za muziki => Sokoni au maeneo ya gulioni => Kwenye...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

    Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani? Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

    Kabla jua halijazama niseme hili; Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo; 1. Makazi Yao. Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza. Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana. Makazi...
  7. Gan star

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda akila bata maeneo tulivu

  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
  9. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

    Habari Wakuu. Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SMZ na uchukuaji wa maeneo ya wazi (Open Space)

    Kwa heshima kabisa naomba kuleta malalamiko yetu katika jukwaa hili kubwa la Jf. Hivi sasa kisiwani Unguja kumekua na kasi kubwa ya ujenzi wa Majengo mbali mbali. Ni jambo la heri na jambo la kupongezwa na kwa hakika tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais wetu . Jambo lilonifanya kuleta bandiko...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na unywaji wa pombe maeneo ya starehe, unaweza kupata mahusiano yasiyokuwa na tija

    Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu maeneo ya vyakula, ikiwezekana iwepo kanuni ya kuyaheshimu mazingira yanayotoa huduma za vyakula

    #Utadaije tume huru badala ya kubadili mfumo wa ELIMU uliopo? Point yangu ipo hapa: Utakuta mtu ametoka job huko hata kunawa hajanawa anaingia kwenye mgahawa ambamo watu wanapata chakula huku akitoka jasho na matope mwili Mzima ,hatukatai unafanya kazi umeshindwa hata kunawa kwenye bomba ndo...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  16. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
  17. F

    JamiiForums Tanzania TARURA, hii biashara mliyoanzisha ya maegesho ya kulipia kwanini msingetenga na kuandaa maeneo maalum badala ya kutumia barabara zetu?

    Kwanza nawapa kongole mamlaka ya usimamizi wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) kwa kuanzisha na kurahisisha huduma za parking kwa njia ya kulipia hususani maeneo ya miji na majiji makubwa hapa nchini. Mapungufu makubwa niliyoyaona hapa ni Parking space nyingi ziko katika barabara ambazo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  19. Kiziwanda chema

    JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  20. vivaforever

    JamiiForums Tanzania Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
Back
Top Bottom