maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kama haki za kuishi na kuendelea ziko juu ya haki nyingine zote za binadamu?

    Ni jambo lisilopingika tukisema kuishi vizuri na kupata maendeleo ni msingi wa binadamu kufanya shughuli nyingine. Mtazamo huu uliosisitizwa na rais Xi Jinping wa China sio tu unalingana na hali halisi ya nchi yake, bali pia unafaa kwa nchi mbalimbali za Afrika, hasa janga la Corona...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya kidijitali na umuhimu wake kwenye kukuza uchumi Tanzania

    Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi. Kwa mujibu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo, matumizi ya data duniani kote yanatarajiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Maendeleo yote yaliyoletwa na awamu ya tano, kwanini wanaogopa Tume huru ya Uchaguzi

    Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili...
  5. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya watu au vitu?

    Ni hoja ambayo imegeuzwa na Wanasiasa kama mtaji wa kisiasa na huenda ikatumika kama agenda kuu katika kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Kuna dalili ya kuelekea huko kutokana na jinsi Wanasiasa wanavyotafsiri taarifa ya Benki ya Dunia kuitambua Tanzania kama moja ya nchi yenye Kipato cha Kati...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

    Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sera za awamu ya tano na vipaumbele vyake vs vipato halisi vya wananchi ndani ya miaka hii mitano

    Mimi sio mchumi, ila nachokiona ni kuwa, awamu hii inakaamua sana wananchi na hela inayokusanywa sehemu kubwa imeelelekezwa katika miradi michache tena inayoplekea baadhi ya fedha kwenda nje ya nchi(kupitia ununuzi wa malighafi kutoka nje,kulipa wataalamu wa kigeni,n.k) na hivyo inakuwa ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

    Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu) Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi...
  9. JamiiForums Tanzania RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
  10. JamiiForums Tanzania Miradi ya maendeleo China -Uganda inagusa wananchi moja kwa moja

    Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya maendeleo Tanzania twapaswa kumpongeza sana Magufuli, na kuna mambo ya kukandamiza demokrasia Tanzania twapaswa kumkosoa sana Magufuli

    Namchukulia Rais Magufuli kama yule tembo katika hadithi ya vipofu ambao waliambiwa wampapase halafu waeleze tembo ni mnyama wa aina gani. Baada ya kumpapasa vipofu walianza kubishana na hata kukaribia kupigana, kila mmoja akidai yeye yuko sahihi katika kueleza tembo ni mnyama wa aina gani...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wana utopolo kutaneni hapa mjadili maendeleo ya timu yenu

    Hii ni yanga au UTOPOLO? Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya CHADEMA au kuna jambo limejificha?

    Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele. Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maendeleo Norway yakanusha taarifa ya Daily News kuhusu Tanzania na mapambano dhidi ya COVID-19

    Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote tumuunge mkono Rais Magufuli kwa maendeleo ya Tanzania

    Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao. Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa kuchekesha sana - wakati wa bajeti hizi nchi tunaziita washiriki wetu wa maendeleo, wakitukosoa na kushauri tunawaita mabeberu!

    Lazima kuna kitu hakiko sawa akilini mwa viongozi wetu na mashabiki wengi wa siasa wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa makini. Leo nasoma bajeti ya serikali, nakutana na maneno kwamba bajeti yetu pia itategemea msaada kutoka kwa washiriki wetu wa maendeleo (development partners). Sasa mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mji mpya Boko, Bunju na Mbweni yanahitaji Wilaya mpya na Jimbo

    Umuhofia kwenyu, Serikali INA haja ya kuangalia uwezekano kuunda wilaya ya miji mipya, boko, bunju na mbweni, miji hii inaendelea kwa kasi kiasi kwamba huduma za jamii zinakwama kufuatana wingi watu na matukio mbalimbali ambayo yangemalizwa kijimbo/ kiwilaya. Miji hii inakaa wakazi wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Tufanye mambo gani ili tuweze kunufaika na maendeleo ya kiteknolojia?

    Nchini Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani teknolojia imeleta maendeleo na mabadiliko makubwa kwenye jamii. Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya mawasiliano yetu ambayo yamepitia hatua mbalimbali kuanzia barua posta, simu za mezani na sasa kidijitali...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wanaobeza maendeleo mtoto wa miaka 8 awashangaa

    Shangazi yangu alienda kutembea Uingereza akakutana na mtoto wa miaka 8 raia wa uko, mtoto akauliza nasikia Africa ni masikini sana? Shangazi akajibu ndiyo, Mtoto akauliza wewe unatoka taifa gani? Shangazi natokea Tanzania. Mtoto akauliza mbona wewe unajua kiingereza? Shangazi akajibu...
  20. JamiiForums Tanzania John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

    Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…