Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

Rais Magufuli bado anatosha sana! Ila akubali kupokea ushauri kutoka kwa watu makini.

Akibadili mtazamo kuhusu Sera zake za Uchumi na kuruhusu Sekta Binafsi kuendesha uchumi.

Akizingatia Utawala wa Sheria (Rule of Law ) na akakubali pia kukosolewa.

Akikubali kukuza Demokrasia na kuzuia mambo haya ya hovyo ya kutekana na kuuana hovyo.

Akajitenga na wapambe nuksi wanaosaka Ugali kwa kivuli cha kumsifia na kumuabudu !

Basi Mhe.Rais Magufuli atakuwa na ata sasa ni Rais Bora kuliko anavyoweza kuwa Ndg.Bernard Kamillius Membe.

Nguvu kubwa (undisputed power ) ambayo Mhe.Rais Dr.Magufuli anayo kuliko akina Mhe. Membe ni hii ya kuamini kuwa maendeleo ya Watanzania yako mikononi mwa Watanzania na kwamba Tanzania ni Nchi Tajiri sana!

Hawa kina Mhe.Bernard Kamillius Membe walitudhalilisha sana na uombaomba na kuabudu Wazungu!

Kama ni Mhe.Membe ni bora mara 1000 kwa Taifa hili Mhe. Rais Magufuli aendelee tu kutuongoza na " udikteta" wake.

Watakao- survive wataona kitu huko mbele kuliko huu ("u- softness, u- diaspora, kuzurura duniani, uombaomba ) wa akina Mhe. Bernard Kamillius Membe.
 
Full of contradiction, sasa umeandika nini hapo mkuu kama mambo ya msingi ya memshida ana umuhimu gani kuendelea? Kama kuna Raisi ambaye ni total failure ni huyu wa kwetu alipashwa afundishwe kwanza sera za uchumi wa dunia na basic political rights za nchi...
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatumtaki maisha ni furaha, siyo kujenga madaraja na ndege kwa ncha ya upanga
Furaha haiji bila mikakati ni lazima ijengewe mazingira ! Mhe.Bernard Kamillius Membe hana uwezo wa kukuletea furaha!

Hivi Mwanaume mwenye akili unaweza kuwa na furaha kwa kuwa tu mke wako anakupikia mapochopocho lakini unajua kabisa kuwa vitu hivyo anapata kwa " kupigwa" / kujiuza mwili wake kwa majirani au marafiki zako!

Hiyo ndo aina ya " furaha" mnayotafuta kutoka kwa akina Mhe. Bernard Kamillius Membe.
 
Full of contradiction, sasa umeandika nini hapo mkuu kama mambo ya msingi ya memshida ana umuhimu gani kuendelea? Kama kuna Raisi ambaye ni total failure ni huyu wa kwetu alipashwa afundishwe kwanza sera za uchumi wa dunia na basic political rights za nchi...
..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya "comperative analysis" kati ya Mhe. Rais Dr.Magufuli na Mhe. Membe!
Mhe.Rais Dr.Magufuli ni " less evil" yaani Mhe.Rais Dr.Magufuli ni " shetani" unayeweza kuvumilia ukaishi naye kuliko " shetani" Mhe.Membe.
 
Hiyo ni wrong comparative analysisi Membe hajawihi kua Raisi wa nchi hi......nisawa sawa kuchukua Magufuri wakati wakipindi cha Waziri na wa sasa niwatu wawili tafouti........yule alikua msikivu asiopenda ma kuu mwenye huruma kwa raia....wasasa hivi kama Raisi nikinyume na wa kwanza, jambo la utekaji tu na visasi vyako kwa raia ni tosha kwamba nikatiri ambaye hajawahi kutokea Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli bado anatosha sana! Ila akubali kupokea ushauri kutoka kwa watu makini.

Akibadili mtazamo kuhusu Sera zake za Uchumi na kuruhusu Sekta Binafsi kuendesha uchumi.

Akizingatia Utawala wa Sheria (Rule of Law ) na akakubali pia kukosolewa.

Akikubali kukuza Demokrasia na kuzuia mambo haya ya hovyo ya kutekana na kuuana hovyo.

Akajitenga na wapambe nuksi wanaosaka Ugali kwa kivuli cha kumsifia na kumuabudu !

Basi Mhe.Rais Magufuli atakuwa na ata sasa ni Rais Bora kuliko anavyoweza kuwa Ndg.Bernard Kamillius Membe.

Nguvu kubwa (undisputed power ) ambayo Mhe.Rais Dr.Magufuli anayo kuliko akina Mhe. Membe ni hii ya kuamini kuwa maendeleo ya Watanzania yako mikononi mwa Watanzania na kwamba Tanzania ni Nchi Tajiri sana!

Hawa kina Mhe.Bernard Kamillius Membe walitudhalilisha sana na uombaomba na kuabudu Wazungu!

Kama ni Mhe.Membe ni bora mara 1000 kwa Taifa hili Mhe. Rais Magufuli aendelee tu kutuongoza na " udikteta" wake.

Watakao- survive wataona kitu huko mbele kuliko huu ("u- softness, u- diaspora, kuzurura duniani, uombaomba ) wa akina Mhe. Bernard Kamillius Membe.

Sasa kama hivyo ulivyoviorodhesha havifanyi maana yake ni kwamba hafai. Angekuwa anafaa hivyo vitu vingekuwa ni priority katika serikali yake
 
Furaha haiji bila mikakati ni lazima ijengewe mazingira ! Mhe.Bernard Kamillius Membe hana uwezo wa kukuletea furaha!

Hivi Mwanaume mwenye akili unaweza kuwa na furaha kwa kuwa tu mke wako anakupikia mapochopocho lakini unajua kabisa kuwa vitu hivyo anapata kwa " kupigwa" / kujiuza mwili wake kwa majirani au marafiki zako!

Hiyo ndo aina ya " furaha" mnayotafuta kutoka kwa akina Mhe. Bernard Kamillius Membe.
Unataka kutuaminisha kuwa hivi sasa hatupokei misaada toka nje? Juzi niliona Jafo anazindua choo kilichojengwa kwa msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli bado anatosha sana! Ila akubali kupokea ushauri kutoka kwa watu makini.

Akibadili mtazamo kuhusu Sera zake za Uchumi na kuruhusu Sekta Binafsi kuendesha uchumi.

Akizingatia Utawala wa Sheria (Rule of Law ) na akakubali pia kukosolewa.

Akikubali kukuza Demokrasia na kuzuia mambo haya ya hovyo ya kutekana na kuuana hovyo.

Akajitenga na wapambe nuksi wanaosaka Ugali kwa kivuli cha kumsifia na kumuabudu !

Basi Mhe.Rais Magufuli atakuwa na ata sasa ni Rais Bora kuliko anavyoweza kuwa Ndg.Bernard Kamillius Membe.

Nguvu kubwa (undisputed power ) ambayo Mhe.Rais Dr.Magufuli anayo kuliko akina Mhe. Membe ni hii ya kuamini kuwa maendeleo ya Watanzania yako mikononi mwa Watanzania na kwamba Tanzania ni Nchi Tajiri sana!

Hawa kina Mhe.Bernard Kamillius Membe walitudhalilisha sana na uombaomba na kuabudu Wazungu!

Kama ni Mhe.Membe ni bora mara 1000 kwa Taifa hili Mhe. Rais Magufuli aendelee tu kutuongoza na " udikteta" wake.

Watakao- survive wataona kitu huko mbele kuliko huu ("u- softness, u- diaspora, kuzurura duniani, uombaomba ) wa akina Mhe. Bernard Kamillius Membe.
Sio kwa jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatarajia mtu aliyetoka huko akusaidie?Unahitaji akuokoe kwenye nini elezea humu
 
Back
Top Bottom