maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

    Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa. ==== Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  3. Mageuzi92

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

    Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maduka ya fedha Dar hatarini kwa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne kwa unyang’anyi wa kutumia silaha na kuwataka mawakala wa huduma za kifedha kuchukua tahadhari za kiusalama dhidi ya uhalifu ulioibuka mwanzoni mwa mwaka huu. Ushauri huo umetolewa baada ya jeshi hilo kuwakamata...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimehama maduka mpaka nimekoma!

    Anaandika, Robert Heriel Hivi hawa wenye maduka siku hizi mnawaelewa kweli? Nazungumzia hawa wauza maduka ya vyakula Kwa rejareja kina Mangi na Muha hapo mtaani kwenu mnawaelewa? Labda ni Mimi pekee ndio siwaelewi. Anyway, mwanzoni wakati naanza maisha ya ubachela, Kigheto ghetto nilikuwa...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

    Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao. Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

    Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
  8. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

    Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra. 3.Gillete Razors(Silver...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  10. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  12. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

    Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo! Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe yaruhusu bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini. Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

    Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hapa Dar ni maduka gani yanauza office shoes original?

    Kiukweli nimechoka kununua hivi viatu vya Kariakoo unanunua leo wiki ijayo kimeachia pembene unapeleka kwa fundi huku kiatu umenunua 100k+. Naomba kujua maduka ambayo yanauza viatu original, kiatu ambacho nikinunua hata kama ni 400k lakini kinadumu kwa muda flani angalau miezi sita na...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
Back
Top Bottom