madereva

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

    Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Madereva wajitafakari

    Ukitoa madai yao MADEREVA wamezingua wamechukua nauli za ABIRIA wakijua HAMNA SAFARI huu ni UTAPELI, huko njiani wanazuia hadi magari ya wagonjwa YASIPITE kwa kupack magari yao na kuweka magogo barabarani hii si SAWA hudai HAKI kwa kunyima HAKI wengine. POLISI WACHUKUE HATUA KALI
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini points wakatwe madereva pekee yao wakifanya makosa katika kazi yao?

    ●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu. Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu? Sheria zipo; Kama □kuonywa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Kama ilivyo tangazwa hapo awali, Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania. Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi. Asante. Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma? Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
  12. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali kujivunia madereva 500+ wanaotumikishwa uarabuni ni mapungufu ya viongozi wa CCM.

    Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mgomo hatusitishi… tutalisha ugali familia? Watoa huduma za daladala mnadani Dodoma

    Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani. Watoa huduma hao wamesema umbali huo unawalazimu abiria kutembea hadi stendi, huku wao wakiwa stendi...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

    Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madereva Dar kufungiwa Leseni!

    Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote. 2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanausalama wa Barabarani Dar waache kutengeneza mazingira magumu kwa madereva Bajaj

    Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano. Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani! Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
Back
Top Bottom