madereva

  1. R

    JamiiForums Tanzania Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda Banga: Madereva bajaj msikubali kushiriki vurugu Disemba 9, nendeni mkafanye kazi

    Kamanda habari ikufike 9Dec ni maandamano ya amani hata wewe unakaribishwa sana na si vurugu kama ulivyotooha wewe! =============== Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga amewataka Madereva Bajaji mkoani Njombe kuwakataa baadhi ya Watu wanaohamasisha kushiriki katika vurugu...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Taksi Mtandao wananyonywa sana na Makato, wakilalamika wanaonekana wajeuri

    Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt. Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh 10,000 Bolt wanakata takribani Sh 2,500 inabaki 7,500. Hapo hutoa pesa ya mafuta kwa hiyo safari...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Urasimu wa kutoa vyeti vya Madereva wanaohuisha leseni zao

    Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni. Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Responded Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Dada, usiwaamini madereva Bolt

    Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi. Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi. Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Wakuu, nipeni jibu hapo chini kama ni wewe unge overtake hapo?
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Bolt, Uber etc waache kulalamika na kususia wateja wenye BONUS

    Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu. Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe. So kama bonus inafanya tukose hudumu bora zifutwe. Au ukifika destination anaanza kuomba aongezewe nauli tofauti na kilichoandikwa. Waelimishwe...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Fredy Mwanjala: Madereva wasiofuata taratibu ndio sababu ya foleni Kituo cha SGR Morogoro

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi Watu 10 TRC imesema ajali hiyo iliyohusisha mabehewa 12 yaliyobeba abiria takribani 1,200 na kuwa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  16. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  17. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Zuchu anavyogombanisha madereva na matajiri wao.

    Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva Watanzania washindwa kuendesha magari ya kisasa Qatar

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
Back
Top Bottom