Saudia: Wanaufalme wagombea madaraka, zaidi ya wanafamilia 20 wakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumpindua mrithi wa ufalme

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279

Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya “Middle East Eye”, mara baada ya kukamatwa kwa Ahmed bin Abdulaziz (Prince Ahmed), kaka wa mfalme wa Saudia, mfalme Salman bin Abdulaziz, wanafamilia wengine 20 zaidi wa familia ya kifalme wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kupanga kumpindua mwanamfalme mrithi Muhammed bin Salman.

Miongoni mwa waliotiwa nguvuni ni pamoja na mtoto wa mwanamfalme Ahmed, mwanamfalme Nayef bin Abdulaziz, mwanamfalme mrithi wa zamani Muhammed bin Nayef na ndugu yake wa kambo Nawaf.

Katika taarifa hiyo inasema wanafamilia hao wa familia ya kifalme wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kupanga njama kwa kushirikiana na vikosi vya kigeni ikiwemo Marekani ili kumpindua mwanamfalme mrithi Muhammed.

Inasemekana kwamba amri hiyo ya kuwakamata wanafamilia hao ina saini ya mfalme Salmani.

==============

A purge of royal princes is under way in Saudi Arabia, after the arrest of the royal family’s highest ranking dissident Prince Ahmed bin Abdulaziz, the brother of King Salman, for allegedly plotting a coup against the king's son, Crown Prince Mohammed bin Salman.

Up to 20 princes have been arrested for allegedly being part of a coup to overthrow the crown prince, also known as MBS, Middle East Eye has been told.

Four names so far are known to MEE. They are Prince Ahmed; his son Prince Nayef bin Ahmed bin Abdulaziz, Head of Land Forces Intelligence and Security Authority; the former Crown Prince Mohammed bin Nayef; and his half brother Nawaf.

Ahmed's son is the highest ranking member of the Saudi armed forces known to be arrested so far, MEE sources confirmed.

Moments after the arrests, MBS ordered the kingdom's princes to tweet their loyalty to him. Three of them have already done so.

According to a regional source cited by Reuters, MBS "accused them [the princes] of conducting contacts with foreign powers, including the Americans and others, to carry out a coup d'etat".

Reuters quoted sources as saying King Salman himself signed the arrest warrants. They claimed his mental state was good. The king is known to suffer from dementia.

There were concerns on Friday about the fate of Prince Miteb bin Abdullah, once seen as a leading contender for the throne, who was released from detention and torture in the Ritz Carlton in 2017 after paying more than $1bn in a settlement with authorities.

Miteb, 65, is the son of the late King Abdullah and former head of the elite National Guard.

Desperate act
The purge underway is the boldest and most desperate act yet of his nephew MBS in the crown prince's quest for absolute power.

It has bigger implications for the stability of the kingdom than both the purge of up to 500 members of Saudi Arabia's business elite in the Ritz Carlton on alleged corruption charges on 4 November 2017, and the state ordered murder of the journalist Jamal Khashoggi in Istanbul a year later.
 
... huu ufalme wa Saudia ulishafitinika! How comes ndugu wanataka kupinduana? Tatizo la kutokuwa na clear succession procedures na zikaheshimiwa na wote; badala yake imegeuka matamko tu ndiyo yanayoamua who will be the next King MBS being the best example. Namwona Ayatollah akikenua ile mbaya!
 
Hakuna aliyepanga kumpindua. Wako bize na kula raha kwa gharama za serikali. Tatizo ni kwamba mfalme hali yake ya afya sio nzuri kivile na umri wake i think miaka 86 umeenda.
Anachofanya MBS ni kuondoa wale anaodhani ni washindani katika urithi wa kiti cha ufalme. Hasa huyo Ahmed aliyekuwa crown prince kabla ya MBS maana yule jamaa ni half brother wa mfalme wa sasa na ufalme anaweza rithishwa. MBS hakubaliki na wengi ndani na nje ya nchi hivo anaondoa washindani. Hata hivo imekuwa kawaida yake kuwakamata na kuwaachia baadhi ya watu wakubwa nchini kwake.
 
Wakiambiwa wamarekani sio watu wazuri wakushirikiana nao hawasikii ona sasa wanavyotaftana

Hapa wata anza kumnyooshea kidole chalawama kibabu chawatu ayatollah wakati niupuuzi naupimbi wao wenyewe

Halafu uongozi wakiyahudi unaotawala SAUDI ARABIA Sijui Unashida Gani Kilaleo Kugombana Wajiseme Ukweli Kwanza Kamawao sio Waarabu Halisi Wayahudi Wasaudia Hawajitambui Kabisaaa Bora Wayahudi wa Israel kidooooogo wanajielewa elewa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua hatua kijana. Acha kulia lia. Marekani marekani
 
Hakuna aliyepanga kumpindua. Wako bize na kula raha kwa gharama za serikali. Tatizo ni kwamba mfalme hali yake ya afya sio nzuri kivile na umri wake i think miaka 86 umeenda.
Anachofanya MBS ni kuondoa wale anaodhani ni washindani katika urithi wa kiti cha ufalme. Hasa huyo Ahmed aliyekuwa crown prince kabla ya MBS maana yule jamaa ni half brother wa mfalme wa sasa na ufalme anaweza rithishwa. MBS hakubaliki na wengi ndani na nje ya nchi hivo anaondoa washindani. Hata hivo imekuwa kawaida yake kuwakamata na kuwaachia baadhi ya watu wakubwa nchini kwake.
Tuseme ameamua kuua upinzani dhidi yake ki mabavu kwa hofu ya kupoteza madaraka (Kama watu fulani wanavyofanya kule nchi ya kusadikika)?
 
Utawala utaanguka na ufalme ubaki. Hata hii familia sio original kutoka kwa Al Saud mwenyewe.
Wale direct descendants ndo watawala wa Kuwait.
Pia bado kuna watu hawakubari himaya ya Al Saud OG, kuna siku nikiwa hapa kwangu kwenye mskiti wa karibu nilisikia sijui Imam sijui ni Sheikh akiukandia
 
Utawala utaanguka na ufalme ubaki. Hata hii familia sio original kutoka kwa Al Saud mwenyewe.
Wale direct descendants ndo watawala wa Kuwait.
Kwanini unasema sio original wakati huyu Salman ni mmoja wa wale watoto Saba wa Ibn Saud.

Labda mfalme aliyepita (Marehemu Mfalme Abdullaah) ndio hakuwa original ila mtangulizi wake ambaye aliitwa Mfalme Fahd alikuwa original.
 
Nipo hapa kujua al said ni nan na kwanini haya maana kunapoint imeingizwa apo juu ikidai hawa ni fake na wa Kuwait ndo org
 
Back
Top Bottom