Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?
Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge
Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake.
Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama halafu mtu anawaamini uongozi wa chama😂. Tusisahau awamu ya mama ni sawa mtu kuokota dodo.
Tafuta...
Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu.
Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha...
Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa.
Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
Vikosi vya usalama nchini Sudan wamewauwa waandamanaji 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa baada ya kutumia risasi za moto kuyakabili makundi ya watu waliokusanyika kupinga hatua ya jeshi kunyakua madaraka.
Duru kutoka nchini Sudan zinasema waandamanaji wote 15 waliouwawa ni kutoka wilaya za...
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.
Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna...
Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao.
Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo.
Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani, Abdalla Hamdok amerejea nyumbani kwake. Imeelezwa, alipelekwa nyumbani kwa Jeneral Burhan kwa sababu ya...
Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache.
Mimi...
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona...
Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani.
Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika...
Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka
Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25
Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
Habari,
Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja.
Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara.
1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba.
Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025.
Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu.
Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake.
Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza.
Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata kulipwa posho za madaraka na Halmashauri na malipo hayo yakawekwa kwenye mabaadiliko (Ammendement) ya...
Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa.
Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.