madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wameua Watanganyika. Sasa hawawazi waliowaua wala Uchumi wa Tanganyika, wanawaza kugawana Madaraka ili waendelee kula.

    Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo. Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika. Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  3. 100 others

    JamiiForums Tanzania Sio Tamaa ya Madaraka, Bali Hofu ya Kulipa Gharama za Uovu

    Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana. Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wakubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama , wafanya biashara wakubwa, makada, viongozi wa...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Tatizo la huyu mama ni dharau na kiburi cha madaraka

    She must GOOOOOOOOO!!!
  5. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Lissu na CHADEMA wanapigania nini? Binafsi nawaona kama watu walafi wa madaraka au wamewehuka

    Huyu jamaa alikuwa kinara wa kumpinga mwamba Magufuli na safari hii tena anampinga huyu bibi waliesema ni mama Yao kipindi Magufuli amefariki, leo hii Magufuli anaimbwa CHADEMA hawa watu wana akili timamu kweli maana mama kawapa demokrasia waliyoitaka ila Kuna vilio Sasa shida nini wakati...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Unateka, unaweka watu Magereza, yote kisa madaraka?

    Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani? Unafanya ayo mambo yote kesho uko...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

    Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  12. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

    Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema. Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Wanaoongea sana hawapaswi kupewa madaraka makubwa mfano, mfano Tundu Lissu

    Wakuu! Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira. Haya ni mawazo yangu binafsi. Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha kwake kujuana na kila mtu utadhani kazaliwa eneo husika, interest zote zipo kwa watu, ni mcharuko...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, bunge likishavunjwa, waheshimiwa mawaziri wanaendelea kusimamia wizara wanazoongoza?

    Imekuwa kawaida kuwa Bunge likishavunjwa Waheshimiwa Mawaziri wanakuwa ni wananchi wa kawaida mpaka hapo Serikali mpya itakapoundwa tena. Serikali mpya inapoundwa basi Mhe. Rais anateua tena Mawaziri wake katika Baraza lake. Bunge likiishavunjwa wanaosimamia Mawizara mpaka Serikali mpya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

    Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima. "Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Marais wa kiislamu wanapenda kuacha mizizi ya vizazi vyao kwenye madaraka, wakristo wamelala sana au ni hekima ?

    Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa? Angalia mfano wa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aida Khenani: Kiburi cha utawala mwisho wake ni mauti

    Wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa wameachiwa kwa dhamana Jumanne jioni Julai 29, 2025. Wanachama hao ni wale ambao Jeshi la Polisi mkoani Rukwa Julai 28, 2025 lilithibitisha kuwashikilia kwa madai ya kufanya mkusanyiko...
  19. Noel france

    JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haikuwa nia yake kugombea baada ya kuapishwa… Utamu wa madaraka na wale wanaotaka alinde maslahi yao

    Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff Bonzos watakufahamu. Kuna mengi tulipitia ambayo yaliharibu mchakato wa kuandaa watu kwa nafasi za...
Back
Top Bottom