Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026.
Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha?
Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi.
Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa.
Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani.
Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa.
Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe.
Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome.
Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi.
Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI
Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea.
Baada ya mauaji...
Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao.
Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao.
Polisi na...
Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela
alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Nchi ya maigizo, maagizo, maridhiano, matamko, na mataarifa.
Mtakumbuka kabla ya 2015, waandishi wa habari TZ walikuwa wakipata tuzo nyingi za Kimataifa kwa uandishi na ujasiri wao; mtawakumbuka kina Suzan Mungi na wengineo. Baada ya 2015, TZ tuzo za Kimataifa za uandishi ni kama zilienda na...
Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
Kila mahali kwenye vikundi vya whatsapp, kuna vilio vimetanda, kila familia imepoteza angalau mtu mmoja kama siyo zaidi ya moja.
Wengine wamepoteza watoto wawili, wengine familia nzima imepigwa risasi, wengine mama na mtoto mdogo wa miaka wa miaka 2 wamepigwa risasi vichwani bila sababu.....Hao...
Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo.
Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika.
Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.