mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  2. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote ambao hawapo kwenye mahusiano Duniani

    1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa. 2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume. 3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia. 4...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dkt. Dorothy Gwajima, Ukeketaji wa mabinti wadogo washika kasi TARIME na DAR mwaka 2022

    Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda? Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti? TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari. Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
  5. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wanaooa mabinti wadogo wanaweza kwenda na kasi ya mabinti?

    Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

    Wadau Leo nitalala Hungumalwa. Naomba maelekezo lodge au guest yenye pisi kali
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mabinti waaminifu mlioko chuoni na mnaoelekea chuoni

    Natumai mko salama, Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko. Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni. 1. Hakikisha una marafiki wa kike na wakiume kwa vyovyote lazima wawe na tabia kama zako au ziendane...
  10. Messenger RNA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unyanyasaji waua mabinti 85 wa Kenya Uarabuni

    Grace Kuria Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia. Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika nafasi ya Waziri wa Masuala ya Kigeni Dkt. Alfred Mutua, ambaye alisema wasichana hao walinyanyaswa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mama Salma asimulia Kikwete alivyowateka mabinti

    Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mama Salma asimulia Kikwete alivyowateka mabinti!

    Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa na nia ya kuwatongoza, nimewapima kwa vitu vidogo sana wamefeli

    Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero. Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji mimba usio salama ni chunusi anayeendelea kunywa damu za mabinti zetu

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama. Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
  15. ZIMBANGA CHIKUNDIKUNDI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Salama ya mabinti shule za sekondari katika ‘punjabi’

    Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
  16. kichomiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana oeni mabinti wenye kwao

    Habari za juma pili wakuu, wacha leo niwakumbushe kidogo vijanajuu ya kupata wenza wanaokaa makwao. (1) Usioe binti ambae kwenye familia yao mama ndio Kila kitu. Yaani mama ndio mwenye sauti kuliko baba, akitoa neno tu mpaka baba anaufyata. Hapo usijaribu kusogeza pua kutaka kuoa, hiyo inakuwa...
  17. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  18. Joao de Matos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti jamani chonde chonde, mjitunze jamani,😔😔.

    Mabinti Ni vizuri kujitunza kabla ya kuolewa hii italeta heshima kwa familia na mumeo ata kueshimu Sana, hata na jamii itakueshimu kwa sababu binti au mwanamke ni kama kioo kwa jamii, lakini hata mwanaume pia Ni vyema kujitunza. Vipo vitu vinaweza kukupunguzia heshima kabla ya ndoa hata baada...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti na Wanawake wa Kitanzania ni 'Dharau' na 'Kejeli' kama hizi ndizo huwa 'zinawaponza' na kujikuta mnafanyiwa 'Kitu Mbaya' na Wanaume

    Karen: Sijaona mwanaume wa kuzaa naye Tanzania | Nimezaliwa staa baba yangu staa. Taarifa: EastAfricaTV Baba wa huyu Binti ( Dada ) nakushauri kuwa makini sana kwani kuna Msanii mwingine huko nyuma alikuwa na Dharau na Nyodo kama hizi ila kwa alichofanyiwa Mbezi Beach ( Mitaa ya Rainbow )...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na Kampeni za Hedhi Salama 'Maredioni'. Himizeni Mabinti kuacha Tamaa na Kumomonyoka Kimaadili

    Kila Siku tu ukifungulia Redio mbalimbali Mada nyingi ni Hedhi kwa Mabinti hadi wengine sasa mnatutia Kinyaa tu kutokana na wengine kuelezea jinsi Damu zinavyotoka. Huu muda mnaoutumia kufanya Kampeni za Hedhi Salama kwa Mabinti utumieni katika Kuwajenga zaidi Kimaadili na kuwaasa waache Tamaa...
Back
Top Bottom