Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa nikaja kupata binti ambae kiukweli ana ufanisi, kipaji na uwezo wa kuuza.

Binafsi nipo kwenye 28 binti yupo kwenye 19

Jana kama kawaida nilienda ofisini mida ya jioni kucheki hesabu, binti alikuwa kaketi pembeni yangu, tulikuwa karibu ili panapotokea nahitaji maelezo basi iwe rahisi, ile wakati tunazungumza flani ivi macho yakawa yanagongana alafu tupo wawili tu, geti limeshushwa. kiukweli binti ni mrembo si haba lakini muda wote huu nilikuwa namchukulia kama binti anaenisaidia biashara zangu lakini jana hali ilikuwa tofauti, nikatesti kusomgelea binti akanikwepa flani ivi kama hataki ila anataka, nikamsogelea tena ngoma ikakubali, tulipigana denda mle ndani almost dakika 3, binti nilimpakata nikaanza kumkamua maziwa anahema si kitoto, akili ni kama ilinirudi na kuniambia kwamba huyu ni mfanyakazi wangu naemtegemea hapa hivyo niache.

Kwa tulichofanya jana itoshe kusema kwa namna moja au nyingine tayari tunajua kwamba hisia zetu za kimapenzi sio siri tena na tumeweza kufanya romance, hivyo hata suala la kuomba sex sidhani kama litakuwa gumu lakini hapa inabidi niwaombe wazoefu ushauri kabla ya kufanya maamuzi.

Hatujaongea chochote hadi sasa maana huwa naenda tu kucheki hesabu mida ya jioni.

Hapa inakuwaje wakuu katika kubalance mzani wa mapenzi na biashara katika angle ya binti, Je nikimla ataweza kuendelea na kazi kama kawaida ? au nipotezee kabisa?
 
Miaka 19 flan hivi ndo Nini

Anyway View attachment 2559377View attachment 2559378
FB_IMG_1678907385800.jpg
 
Back
Top Bottom