Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

Au aliwala wote kimasihara?
Atakua James Delicious wa huko huko bush mwanaume hakai kilaini hivyo harushi hata ngumi, unatia ngumi mmoja tu wote wanakimbiana hao
 
Aliwahadaa akajisahaulisha kumbe wanamlia timining .... hicho kichapo ukipata upenyo unatoka ndukiii

halafu kuna siku mmoja wapo atakapokosa mwelekeo atarudi kumwomba msamaha mwambaa ili waishi pamoja
 
Back
Top Bottom