Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara.
Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma.
Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
Kwanini kila basi la mkoani lina tabia ya kupiga nyimbo za injili ama gospel nusu nzima ya safari?
Kwani tumeshachukuliwa kuwa wasafiri wote ni wakristo?
Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka.
Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro.
Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na kuchukua watu wao akidai waliopo Mirembe ni wazima ila wana msongo wa mawazo wa maisha magumu...
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
Habari wanajamvi.
WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita.
Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani.
Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya.
Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.
Mizigo ni kava za simu
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetengaza nauli mpya za mabasi ya mijini maarufu daladala na mabasi ya masafa marefu.
Akitangaza kiwango hicho kipya cha nauli leo Jumamosi Aprili 30, 2022 Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Gilliard Ngewe amesema kiwango hicho kipya kitaanza kutumika...
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo.
Basi pekee ambalo limesalia ni lile lililokuwa likitumiwa na timu ya taifa ya Cameroon katika michuano...
Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya.
Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
Nayazungumzia mabasi ya mikoani yanayoanzia Dar es Salaam kupitia barabara ya Morogoro au ile ya Bagamoyo. Yamekuwa na kawaida ya kuingia na kutoka kwenye kila stendi ya mabasi waikutayo ikiwa hata kama hakuna abiria anayeshuka au kupanda. Kiukweli, kuingia na kutoka kwenye stendi hizi (kwa...
Asubuhi ya leo nimekutana na magari mawili makubwa aina DCM yakiwa yamepakia wanafunzi kwenye barabara ya kwa Musuguri. Aisee magari yakiwa yanashuka bondeni ukiwa bwaloni pale, gari dereva akipunguza break utadhani ni bom la Ukraine gari zinalia sana kuashiria yakuwa hazifanyiwi services...
Wanajamvi,
Habari zenu.
Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi.
Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli.
Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000.
Na Mtwara Lindi...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Dk. Edwin Mhede alibainisha hayo jana wakati akifungua mafunzo kuhusu mipango ya...
Nimekuwa nikiona hawa wanafunzi wanapo pandaga haya mabasi kuna kuwa na kabuguza fulani hasa hasa vile kituo cha kivukoni, Nyerere square, Kisutu, Fire na Magomeni Mapipa
wanafunzi huwa na fujo za kusukumana punde wapandapo mabasi haya kiukweli huwa ni kero kubwaa sanaa, sasa Juzi pale...
“Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa.
“Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.