mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BOFREE

    JamiiForums Tanzania LATRA, tunaomba majibu, kwa nini App ya Tiketi Mtandao hakuna mabasi?

    Nataka kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam nimeangalia kwenye app yao ya tiketi mtandao kuanzia tarehe 16,17 na kuendelea hakuna mabasi hii inaonekana wamiliki wa mabasi hawaingizi taarifa za mabasi yao kwenye mfumo.
  2. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa, mikoani hatuhitaji mabasi ya mwendokasi

    Matatizo yetu huku mikoani sio mabasi ya mwendokasi. Maliza kwanza changamoto za hayo mabasi japo Dar. Mengi ni mabovu, machache na hata spika hazifanyi kazi kuwaambia abiria kituo kinachofuata. Nenda Kimara ongea na wananchi wakupe changamoto za hayo mabasi kisha uzifanyie kazi. Huku mikoani...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabasi Dar yaruhusiwa kushusha vituo binafsi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, ameondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu utaratibu huo kuendelea kwa sharti la kila basi kuingia ndani ya kituo kikuu cha Magufuli. RC Makalla...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana. Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther ===== Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
  5. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Kuna mabasi wamiliki wake hawatuangalii abiria

    Naanza na kampuni ya Superfeo ya mkoani Ruvuma ukiagiza pacel mfano bahasha tu unalipia sh. 5000 iwe ni barua, au kitu kinachoweza kukaa kwenye bahasha. Na bei hizi zipo hata kabla mafuta hayajapanda bei. Mkurugenzi wa Feo tuangaliye tunahali ngumu fikiria kupunguza gharama walau iwe 3000...
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi? Kazi kwenu! ======== Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
  7. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi

    Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki. Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali...
  8. Rufaro

    JamiiForums Tanzania Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

    Sijui niseme ni kukosa hekima au ni makusudi. Baadhi ya makampuni ya mabasi waliamua kukodi ama kujenga vituo vyao binafsi vya mabasi kwa ajili ya urahisi kwa abiria wao na kuepuka usumbufu usio wa lazima kutoka kwa wapiga debe huko stendi na hata wizi. Na naamini kama ni kukodisha ina mana...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

    Natumia sana usafiri wa mabasi, bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli. Hawa akina Sauli, Shabiby, sijui ABC bado sana aisee. Scandinavian ilikuwa bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani Scania tupu hakuna Layland hadi kwenye huduma. Ligi ya sasa ni vyuma vya mchina aka kambi popote...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Tajiri wa Mabasi ya Mbulu Trading Co. Ltd(au Sunvic Express Ltd) Ameiweka Serikali Mfukoni km yule Mgiriki wa Mwl. Nyerere?

    Kuna Kampuni ya mabasi inayofanya safari zake kati ya Arusha na Haydom kupitia Karatu na Mbulu km ilivyotajwa hapo juu. Ktk kibali chake cha biashara ilitakiwa kila siku iwe inasafirisha mabasi manne, mawili kutoka Arusha kwenda Haydom(basi la kwanza inatakiwa iondoke saa 12 asubuhi na la pili...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi kuanza ukaguzi wa mabasi ya Wanafunzi nchi nzima

    Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni. Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
  13. Protector

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa free WiFi na full AC kwenye mabasi

    Mara nyingi mabasi mengi kama sio yote yana stika pembeni zikionesha huduma wanazotoa ni FREE WI-FI na FULL AC lakini ukiingia hakuna hata kimoja. Inawezekana wakati likiwa jipya lilikuwa na huduma hizo (kwa Wi-Fi) sina uhakika sana maana sijawahi kutumia hata siku moja hata kwenye basi jipya...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi tusaidieni abiria, Mabasi mengi ya Mikoani hayana Mikanda

    Salaam Wakuu, Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt). Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwa na vioo vinavyofunguka na kufunga katika madirisha ya mabasi?

    Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza. Watu mnasafiri muda mrefu bila hewa mpya kuingia ndani ya basi madhara yake ni kuumwa kichwa na...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
  17. Head prefect

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde: Rais Samia ana Roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi mazuri

    Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa. Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu. Chanzo: Star tv bungeni
  20. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Stendi ya Magufuli, Mbezi wana kikao

    Wakuu, nimo ndani ya basi la Abood kuelekea Dodoma ambalo linapaswa kuondoka saa 12 asubuhi. Mpaka sasa saa 12:30 hakuna basi lililoondoka stendi hii ya Mbezi kuelekea sehemu mbalimbali. Nimeulizia nikaambiwa madereva wana kikao.
Back
Top Bottom