Cameroon: Mabasi 89 yaliyotumika Afcon 2021 hayajulikani yalipo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,314
5,478
68295408.jpg
Miezi miwili baada ya kumalizika kwa Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) Nchini Cameroon, mabasi 89 kati ya 90 yaliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kusafirisha timu hayajulikani yalipo.

Basi pekee ambalo limesalia ni lile lililokuwa likitumiwa na timu ya taifa ya Cameroon katika michuano hiyo. Kumekuwa na tetesi kuwa wafanyakazi waliohusika katika usimamizi hawajakamilishiwa malipo yao hadi sasa. Bado mamlaka husika ya Cameroon haijatoa tamko rasmi kuhusu tetesi hizo

Source: GhanaWeb

===========================

All 89 Buses Used For 2021 AFCON Have Gone Missing In Cameroon

Two months after the closing of the 33rd edition of the Africa Cup of Nations showpiece in Cameroon, the buses purchased for the transportation of the National teams and delegations that took part in AFCON 2021 remain unclear according to the Cameroonian Daily L’Anecdote.

Of the 90 buses into the circulation for the continental occasion, only that of the Indomitable Lions remains which the team is using for their home games is traceable.

This won’t be first time such report coming from Cameroon after hosting the 2021 AFCON which saw Senegal winning their first ever AFCON trophy seeing off Egypt in the finals.

Reports earlier claimed the Cameroon government is yet to pay some workers of the 2021 AFCON before the mysterious disappearance of 89 buses used for the tournament.
 
Africa ukipata nafasi butua najua hii vita anaandaliwa etoo wamtoe pale baada ya kumpa rafiki yake team wengi hawakukubaliana nae show imeanza etoo anaundiwa zengwe mapema.
 
Wafanye mashindano ya wizi Afrika
Naona Nigeria na Cameroon wataongoza wakifuatiwa na Kenya
Sisi tushinda kwa kuwaibia waizi kombe
No Tanzania itafuatiwa maana wezi wetu walibanwa for almost 6 years, yaani wana njaa ile balaa. Wewe cheki tu sasa hivi wanataka kurudisha kila walichopoteza na wapate tena mara dufu.
 
No Tanzania itafuatiwa maana wezi wetu walibanwa for almost 6 years, yaani wana njaa ile balaa. Wewe cheki tu sasa hivi wanataka kurudisha kila walichopoteza na wapate tena mara dufu.

Halafu Hakuna wa kufungwa yaani ukiwa kwenye position ya kupewa hela ili usimamie mradi we kula tu
Kila hela wanazo allocate kwenye mradi wowote sasa unapigwa tu na hakuna wa kuzuia

Yaani nchi utafikiri iko kwenye vita tu kila unachoona iba tu

Nawahurumia sana
Kuchimba bwawa 600m halafu anakabidhi dimbwi hata ukimdumbukiza mtoto mchanga hafi
Fursa hizo mtaona train isipopita tu wanaiba mataruma

Yaani mgawane kila kitu
 
Yaani sasa hivi ukipata nafasi iba tena iba sana na hakikisha unagawana na wakubwa kama enzi za Dkt JK, unaiba unamgawia mpaka ma Askofu hahahahahah, enzi hizi raha sana
 
Ndo maisha hakuna atakae kujali kesho kama hauna kitu
Watakucheka mno, si unaona wapenda haki wanavyo simangwa. Kikubwa mtindo wa sasa ni hela mkononi, iba iba iba iba iba ukipata nafasi, hakuna atakaye kuonea huruma usipoiba na hakuna atakayekupongeza kwa kuwa muadilifu, badala yake ukitoka tu watasema mnoko kaondoka watafanya sherehe na ikiwezekana watakuua kama Dkt Magufuli halafu waanze kushangilia kama Zitto
 
Yaani sasa hivi ukipata nafasi iba tena iba sana na hakikisha unagawana na wakubwa kama enzi za Dkt JK, unaiba unamgawia mpaka ma Askofu hahahahahah, enzi hizi raha sana

Kuiba rukhsa sasa
Magu alisema ya kubrashi huyu nae anasema mle kidogo
Sasa unamuonjesha mtu asali kwa kidole

Yaani hata ukipata mzinga iba tu
 
Back
Top Bottom