Palipo na nia pana njia
Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kuwa na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria.
Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti ipi ambayo ina uhitaji mkubwa wa mabasi au ruti ipi ambayo nitapiga hela kisawasawa.
Baada ya...
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.
Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli...
Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi.
=====================
The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO!
Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana.
Na bila kuyaongea yataendelea.
Kwenye Mada
Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima.
Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo...
Huu wizi umekithiri. Tahadhari inahitajika. Kuna ushirikiano mkubwa kati ya makondakta na wezi.
Nimeshuhudia wizi Happy nation na Frester. Kuweni makini
Mabasi ya kampuni ya Abood yanayotokea popote, yakifika Morogoro, lazima yapitie kwenye yard yao. Abiria wote mnashushwa nje ya geti. Basi linaingia ndani, sijui linaenda kufanyiwa nini? Halafu baada ya dakika kadhaa linatoka. Abiria mnapanda tena kuendelea na safari.
Hapo nje hakuna sehemu...
Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.
Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne.
Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri...
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.
Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Jana nilipita pate stendi ya Daladala ya saba saba Dodoma hali niliyoiona pale ni ya kutisha, nilijiuliza sana akiwa watu wanaakili sawa sawa.
Wamachinga kama wote wamepanga biashara ndani ya stendi chini, sehemu Daladala zinapita wao wamepanga biashara zao, Daladala inabidi wapige hone ili...
Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
Habari wanabodi!
Hivi karibuni tumeona baadhi ya watoa huduma za usafirishaji abiria kuendelea kutatuna huduma zao na kuwa wabunifu kwa kuanza safari za usiku na kufika asubuhi. Lakini ghafla tukaona safari zimesitishwa kwa taarifa wamezuiwa na mamlaka husika.
Tumeona kampuni ya KAPRICON...
Toka mradi hui wa mabasi ya mwendo kasi, hivi sasa ni zaidi ya miaka 4 na hatujaona mabasi mengine mapya yakiingizwa Barabarani.
Takribani miaka 2 iliyopita tulisikia "tetesi" kuwa DART walikuwa wameagiza magari mapya, lakini yalikuwa yamezuiliwa bandarini kutokana na kudaiwa kodi!
Kwa kweli...
Kituo cha Daladala Bunju B tunaomba kiondolewe mahili kilipo sasa kisogezwe sehumu nyingine.
Kituo hicho kinasababisha foleni muda wote, nimepita hapo leo saa 12 asubuhi foleni ni kubwa sana imechukuwa takribani dakika 10 kupita hapo.
Pia wafanyabiashara wameingia mpaka eneo la barabara hali...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini.
Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
Salaam.
Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania.
Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.