Bado sijaona mbadala wa Scandinavian katika usafiri wa Mabasi. Nauli ilitofautiana kwa aina ya SCANIA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Natumia sana usafiri wa mabasi, bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli. Hawa akina Sauli, Shabiby, sijui ABC bado sana aisee.

Scandinavian ilikuwa bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani Scania tupu hakuna Layland hadi kwenye huduma. Ligi ya sasa ni vyuma vya mchina aka kambi popote

Mungu wa mbinguni mbariki mzee Abdullah na Bob Said pale Iringa
 
Scandinavian Express ndio lilikuwa basi la kwanza la kuwa Luxury kwa miaka hiyo. Ilikuwa ni mwendo wa AC Dar to Kampala.

ilfanya hata watoto wa kishua wahamie kwenye kutumia mabasi hayo kwenda shule badala ya ndege. Bila kusahau kwenda kuchukua miamala inayotumwa na wazazi.

Those were the days. Siku hizi ukiambiwa bus Luxury unakutana kwanza na harufu ya uvundo mixer seat kama box la kibiriti.
 
Scandinavian ndio lilikuwa basi la kwanza la kuwa Luxury kwa miaka hiyo. Ilikuwa ni mwendo wa AC Dar to Kampala.

ilfanya hata watoto wa kishua wahamie kwenye kutumia mabasi hayo kwenda shule badala ya ndege. Bila kusahau kwenda kuchukua miamala inayotumwa na wazazi.
Those were the days. Siku hizi ukiambiwa bus Luxury unakutana kwanza na harufu ya uvundo.
Hahaha.......siku hizi 2 x 2 ndio Luxury bila kujali vigezo vingine
 
Mkuu hii mada ninakubaliana nawe 100%,Scandinavian Express ilikua super inakuondoa Dar 06:00am to Tunduma, saa 17:00ndani ya border, 20:00hrs from nakonde by 05:00am,ni good morning Lusaka Bus Terminal, hii bus ilikua hadi ndani ya zambia hakuna bus ilikua inaikamata(elewa buses zingine zilikua zinaondoka nakonde by 18:00!,lakini Kapiri Mposhi bus ya kwanza kupiga hodi pale ni Scandinavian iliyoondoka 20:00),salute salute kwa Scandinavian Express
 
Scandinavian ndio lilikuwa basi la kwanza la kuwa Luxury kwa miaka hiyo. Ilikuwa ni mwendo wa AC Dar to Kampala.

ilfanya hata watoto wa kishua wahamie kwenye kutumia mabasi hayo kwenda shule badala ya ndege. Bila kusahau kwenda kuchukua miamala inayotumwa na wazazi.
Those were the days. Siku hizi ukiambiwa bus Luxury unakutana kwanza na harufu ya uvundo.
Scandinavia angeendelea sasa hivi angekuwa ndio.kampuni kubwa ya mabasi Tanzania nzima

Wateja.walikuwepo na walipenda ile kampuni

Jina ilishalijenga tayari brand tena kubwa sana enzi zile

Sema tu wakurugenzi kama waliona iko shida wangeuza kampuni nzima kwa anayeweza kama au wangetafuta nje ya nchi wawekezaji waichukue iendelee

Mimi hata sijui sababu ya kufa ile kampuni wakati wateja walikuwepo
 
Walifilisiwa na mabank mkuu
 
Natumia sana usafiri wa Mabasi bado sijaona mbadala wa Scandinavian kwa kweli

Hawa akina Sauli, Shabiby sijui ABC bado saaana aisee

Scandinavian Ilikuwa Bora kuanzia kwenye vyuma vyenyewe yaani SCANIA tupu hakuna Layland hadi kwenye Huduma

Ligi ya sasa ni Vyuma vya mchina aka Kambi Popote

Mungu wa mbinguni mbariki mzee Abdullah na Bob Said pale Iringa

Scandinavian buses yalikua ya nani?
 
Mkuu hii mada ninakubaliana nawe 100%,Scandinavian Express ilikua super inakuondoa Dar 06:00am to Tunduma, saa 17:00ndani ya border, 20:00hrs from nakonde by 05:00am,ni good morning Lusaka Bus Terminal, hii bus ilikua hadi ndani ya zambia hakuna bus ilikua inaikamata(elewa buses zingine zilikua zinaondoka nakonde by 18:00!,lakini Kapiri Mposhi bus ya kwanza kupiga hodi pale ni Scandinavian iliyoondoka 20:00),salute salute kwa Scandinavian Express
Alitengeneza reputation yake nzuri ila msipate upofu Bado Kuna kampuni zinatoa service nzuri za mabasi kushinda hizo gari mseme mmezimiss hizo basi tu.
 
Back
Top Bottom